Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyeweLeo sio mara yake ya kwanza kujibu hivyo, alikuwa na msimamo huo huo alipohojiwa na Steve Sackur kwenye HARDtalk show way back, kwa hiyo ccm wanaijua vizuri.
Kama unahisi ina mtaji kwao kwa nini hawaibebi kama agenda kwenye mikutano yao? Wamesikika wakimuita msaliti, sio mzalendo, anatumika na mabeberu, atagawa madini kwa wazungu nk nk. Why not this one?
Hyo ibara naifahamu Ila naamini hamna Uhuru uliovuka mipakaBado darasa linahitajika... Simply kasome Ibara ya 16 ya katiba.
AhahahTundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Sheria na katiba vinafanya kazi pamoja, na hata hyo haki ya faragha ipo Ila mtu ka anahatarisha usalama wa nchi aachwe kwa vile ni faragha yake, mfano case ya amberuty naye angeachwa baada ya kusambaza video ya hicho kitendo, maana hicho kitendo wengi hufanya kwa Siri na Wala hawasumbuliwi.Sheria na katiba kipi kiko juu?Kwa mujibu wa sheria na katiba,kosa ni kutenda mambo hayo hadharani na ndio maana Lissu anawambia ondoeni kwanza hiyo furaha au katiba itamike moja kwa moja kwa kuwa ushoga[SUP] o[/SUP]
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Ndo maana..., Nimesema kama jibu lipo na halikuondolei heshima. Unapaswa kujibu.Sio kila jambo lakujibu Bora kupiga kimya
Sahihi, wananchi wanahitaji mambo yatakayo waboreshea maisha yao tukianza kuhangaika na propaganda za kijinga hizi hatutafika popote.Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyewe
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Lisu kasema hamtaingiliwa faragha zenu so mkimchagua awe rais wenu mtajiachia mtakavyo"Wewe mbona hufanyi sawasawa". Hahahahaha
Hayo ni maagizo ya sponsors wakeLissu naye aachane na ushoga hyo ni minor issue, na Mambo binafsi
Sijawahi kuona Lissu akikosea.
Lissu spidi uliyonayo ongeza, October tunachukua dora mapema tu.
Lisu kasema ataawaache mfanye kwa uhuru mkuu! Si faragha yenu hiyo?Maccm yanatumia uelewa finyu wa wafuasi wao kupambana na akili kubwa Lissu the great
Kwa ushoga hapana,hata kama ni jambo binafsi ila nitalipinga mpaka naingia kaburiniTundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Au tuwaulize kivingine mnadai Lissu akiwa Rais kutakuwa na vitendo vya kishoga, Sasa hivi siwanadai Serikali hairusu ushoga je vitendo hivyo vinafanyika au havifanyiki?. Yaliyowapata akina Amba ruti na wenzie ni kuposti . Haya mambo nifaragha kutokana na katiba yetu watu wafanya wapendavyo na watakavyo.
[/QUOTE
Nilishasema kwamba tangu kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 uanze sijaona wala kusikia hoja za kitaifa zenye mashiko kiuchumi na kimaendeleo kwa taifa letu. Ananongelea petty issues ambazo ni level za madiwani na wabunge. Mnaobisha pitieni hotuba za Lisu tangu anaanza kampeni mpaka sasa. Nina wasi wasi kama CHEDEMA wana ilani ya uchguzi ya chama chao ya mwaka 2020 na kama wanayo basi mgombea wao ameikanyaga pengine kwa kuwa hiyo ilani haina kitu cha maana kilichomo. POVU RUKSA!Lissu naye aachane na ushoga hyo ni minor issue, na Mambo binafsi
Lisu wenu kasema hatawaingilia! Atawaacja mjivinjari mtakavyo si mtakuwa mko kwenye faragha?Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]