Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Leo sio mara yake ya kwanza kujibu hivyo, alikuwa na msimamo huo huo alipohojiwa na Steve Sackur kwenye HARDtalk show way back, kwa hiyo ccm wanaijua vizuri.

Kama unahisi ina mtaji kwao kwa nini hawaibebi kama agenda kwenye mikutano yao? Wamesikika wakimuita msaliti, sio mzalendo, anatumika na mabeberu, atagawa madini kwa wazungu nk nk. Why not this one?
Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyewe
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa

"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."

Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Ahahah
 
Sheria na katiba kipi kiko juu?Kwa mujibu wa sheria na katiba,kosa ni kutenda mambo hayo hadharani na ndio maana Lissu anawambia ondoeni kwanza hiyo furaha au katiba itamike moja kwa moja kwa kuwa ushoga[SUP] o[/SUP]
Sheria na katiba vinafanya kazi pamoja, na hata hyo haki ya faragha ipo Ila mtu ka anahatarisha usalama wa nchi aachwe kwa vile ni faragha yake, mfano case ya amberuty naye angeachwa baada ya kusambaza video ya hicho kitendo, maana hicho kitendo wengi hufanya kwa Siri na Wala hawasumbuliwi.
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa

"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."

Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"

Daah! Upepo huu hadi utakapotulia utakuwa umezalisha mapoyoyo na mazwazwa kibao, ambao watahitajika 'kubatizwa' upya ili kurekebisha dira za vichwa vyao!!
 
Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyewe
Sahihi, wananchi wanahitaji mambo yatakayo waboreshea maisha yao tukianza kuhangaika na propaganda za kijinga hizi hatutafika popote.

Hiyo sheria hata ikipitishwa (naamini hatutapitisha) hakuna ataye lazimishwa kuolewa, ni kama tu ambavyo ni ruksa kuoana mume na mke kwani watu wote wamefunga ndoa?

Na tukirudi kwenye uhalisia ushoga Tz upo au haupo? Jibu ni upo na ndio maana hata Makonda aliposema kupambana nao (kwa kuwa upo) serikali ilimkana kwa kuwa inatambua katiba yetu inalinda uhuru wa faragha.

Kwa sheria iliyopo imezuia tu ila haijakataza ni kama ilivyozuia uvutaji sigara hadharani, kwa hiyo labda mtu afanyie hadharani ndio anaweza kushtakiwa ila wakiwa 'sirini' huna cha kuwafanya.
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa

"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."

Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maccm yanatumia uelewa finyu wa wafuasi wao kupambana na akili kubwa Lissu the great
 
Mkuu Lisu wenu kasema hatawaingilia atawaacha mjivinjari tu kwa uhuru
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa

"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."

Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Kwa ushoga hapana,hata kama ni jambo binafsi ila nitalipinga mpaka naingia kaburini
 
Mbona serikali hairuhusu wizi au rushwa na vinafanyika kufanyika kwa kitu hakileti uhalali na huwezi ukamkamata mtu bila ushaidi
Au tuwaulize kivingine mnadai Lissu akiwa Rais kutakuwa na vitendo vya kishoga, Sasa hivi siwanadai Serikali hairusu ushoga je vitendo hivyo vinafanyika au havifanyiki?. Yaliyowapata akina Amba ruti na wenzie ni kuposti . Haya mambo nifaragha kutokana na katiba yetu watu wafanya wapendavyo na watakavyo.
[/QUOTE
 
Lissu naye aachane na ushoga hyo ni minor issue, na Mambo binafsi
Nilishasema kwamba tangu kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 uanze sijaona wala kusikia hoja za kitaifa zenye mashiko kiuchumi na kimaendeleo kwa taifa letu. Ananongelea petty issues ambazo ni level za madiwani na wabunge. Mnaobisha pitieni hotuba za Lisu tangu anaanza kampeni mpaka sasa. Nina wasi wasi kama CHEDEMA wana ilani ya uchguzi ya chama chao ya mwaka 2020 na kama wanayo basi mgombea wao ameikanyaga pengine kwa kuwa hiyo ilani haina kitu cha maana kilichomo. POVU RUKSA!
 
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu wenu kasema hatawaingilia! Atawaacja mjivinjari mtakavyo si mtakuwa mko kwenye faragha?
 
Back
Top Bottom