cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyeweLeo sio mara yake ya kwanza kujibu hivyo, alikuwa na msimamo huo huo alipohojiwa na Steve Sackur kwenye HARDtalk show way back, kwa hiyo ccm wanaijua vizuri.
Kama unahisi ina mtaji kwao kwa nini hawaibebi kama agenda kwenye mikutano yao? Wamesikika wakimuita msaliti, sio mzalendo, anatumika na mabeberu, atagawa madini kwa wazungu nk nk. Why not this one?