..msimamo wa Jiwe kuhusu ushoga na ulawiti unayumba kulingana na upepo wa kisiasa.
..kwa mfano, aliwaachia huru Babu Seya na Papii ambao walipatikana na hatia ya kulawiti watoto wa shule.
..zaidi, akawapokea Ikulu magogoni na kupiga nao picha na video na zikasambazwa ktk jamii.
..kama angekuwa anapinga ushoga kwa dhati bila kubabaisha asingemuachia Babu Seya. Lakini zaidi asingempa Babu Seya heshima na ujiko wa kumpokea Ikulu.
..Mbwana Samatta aliposhinda tuzo ya Afrika hakupewa heshima ya kufika Ikulu, sasa mtu aliyepatikana na hatia ya kulawiti watoto wa shule na mahakama zote uzozijua wewe ktk nchi hii, ana heshima gani mpaka apokelewe Ikulu?