Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Inawezekana waandishi wa habari wameshindwa kuuuliza swali vizuri au Lissu mwenyewe anapigachenga katika hili. Watu wanataka kujua msimamo au mtazamo wake kuhusu ushoga ila yeye anarusha hili kwenye masuala ya katiba huko badala yeye kueleza msimamo wake ni upi ili watu wajue hasa ukizingatia anagombea urais.
 
..Na msimamo wa Jiwe mnaujua?

..mmemsikia alichokisema akiwa mbeya?

..sikiliza video kuanzia dakika 2:19

Sheria ya mahusiano/ndoa Tanzania inataka mtu mume na mtu mke. Hairushusu mahusiano ya jinsia moja.
Na kukazia hilo ndio maana kuna sheria zingine kwamba wanaume wawili hamruhusiwi kulala chumba kimoja mkiwa mahotelini
Tundu anajichetua tuu ukweli anaujua
 
Unajua sasa watu humuona kama anasapoti ushoga,sasa badala ya yeye kujibu hili suala ye anapigachaga yani hataki kuonekana anasapoti ushoga na wakati huo huo hataki kuonekana anapinga ushoga.
 
..Na msimamo wa Jiwe mnaujua?

..mmemsikia alichokisema akiwa mbeya?

..sikiliza video kuanzia dakika 2:19

Jiwe huu wa mwaka 5 yupo madarakani hivyo huwezi kuja kuniuliza msimamo wake sasa hivi.
 
..msimamo wa Jiwe kuhusu ushoga na ulawiti unayumba kulingana na upepo wa kisiasa.

..kwa mfano, aliwaachia huru Babu Seya na Papii ambao walipatikana na hatia ya kulawiti watoto wa shule.

..zaidi, akawapokea Ikulu magogoni na kupiga nao picha na video na zikasambazwa ktk jamii.

..kama angekuwa anapinga ushoga kwa dhati bila kubabaisha asingemuachia Babu Seya. Lakini zaidi asingempa Babu Seya heshima na ujiko wa kumpokea Ikulu.

..Mbwana Samatta aliposhinda tuzo ya Afrika hakupewa heshima ya kufika Ikulu, sasa mtu aliyepatikana na hatia ya kulawiti watoto wa shule na mahakama zote uzozijua wewe ktk nchi hii, ana heshima gani mpaka apokelewe Ikulu?
 
Point yako ni ipi mkuu,kwa sababu hao uliywataja tunajua walishahukumiwa na walikuwa wanatumikia adhabu yao na jela wako wengi tu wenye makosa ya ulawiti,sasa kuwaacha huru hao jamaa tu ndio unataka kusema kuwa Magufuli anaunga mkono ulawiti? labda uniambie hilo jambo kalifanya kwa manufaa ya kisiasa sababu watu walikuwa wakitaka watolewe hao watu ila sio kuja kutaka kusema et msimamo wake juu ya ulawiti haueleweki.

Labda kama kuna matukio mengine kama hayo ndani ya miaka yake yote hii mitano basi ungeeleza.
 
..hilo la kuwapokea walawiti ikulu wewe unaliunga mkono?

..hata katika nchi zinazounga mkono ushoga hawaruhusu kulawiti watoto.

..labda Jiwe anapinga hayo mambo kwa watu wazima, but kwa watoto wadogo ni ruksa na ndiyo maana akawapokea ikulu.
 
Nimekwambia kuwa unawazungumzia watu ambao walishahukumiwa na walikuwa wakitumikia kifungo chao,na pia ni wananchi wenyewe ndio walikuwa wakitaka hao watu watolewe na tena nakumbaka hata Lowassa katika kampeni zake 2015 aliwahi kusema atawatoa hao jamaa baada ya kuona wananchi wakitaka hivyo.

Sasa hii hoja yako ya kulazimisha inakosa mashiko kabisa.
 
..msimamo wa Jiwe kuhusu kulawiti watoto ukoje?

..maana mimi nimemuona na watu waliopatikana na hatia ya kulawiti watoto.

..kwanini aliwapokea Ikulu? Ikulu wanapokelewa watu wenye heshima zao ktk jamii.

..umeona ikulu ya nchi gani nyingine watu waliolawiti watoto wamepokelewa?
 
Nakwambia hivi Mugufuli asingefikiria kumtoa Babu Seya kama sio wananchi wenyewe kuomba hivyo,na ndio utakumbuka alivyowatoa watu walisherekea.

Kwahiyo Magufuli ametumia hilo suala kwa masilahi ya kisiasa tu na ndio maana hakuna tena jambo lengine kama hilo ambalo lenye kuhusiana na walawiti. Kwahiyo ukitaka uulize na misimamo ya watanzania nao ambao waliomba Babu seya asamehewe na pia walishangilia alivyotolewa na ndio hao walimwambia hadi Lowassa ile 2015.
 
Katiba ni msumari wa 6"

Ukimkuta mtu anaejua kuisoma, kuielewa na kuitafsiri kiukweli mtasumbuana.

Huyu jamaa hata akishinda Urais hii katiba ianze kufundishwa tu shuleni liwe SOMO la lazima kuanzia DRS 3 mpaka PhD level
Inaonekana wengi tunaonekana kama tunajua jua vile kumbe mbulula tu

magufuli akishaapishwa tu, tuna jambo letu kwenye katiba na tushamwambia atake asitake: alafu lissu ana kesi 10 za kushuhulikiwa baada ya uchaguzi na wamesisitiza mfululizo, kwahio ajiandae kisaikolojia
 
Lowassa kwenye kampeni zake alitoa ahadi ya kumtoa Babu Seya endapo watanzania watamchagua na kuwa rais.

Babu Seya alivyotoka watu walishangilia na akapiga show.

..mimi naamini Jiwe hapangiwi.

..na hafanyi jambo lolote bila kuwa analiunga mkono kwa dhati.

..na kuwapa heshima ya kuwapokea Ikulu kunadhihirisha msimamo wake ktk suala hili.
 
Sio msimamo wake tu bali ni msimamo wa watanzania na ndio maana hadi Lowassa akalitumia hilo suala katika kampeni zake kama ingekuwa ni jambo ambalo watanzania hawalipendi basi asingeweza kusema kwenye kampeni kuwa atamtoa Babu Seya.

Lakini pia ingekuwa watanzania hawalipendi hili suala basi wasingeshangilia kutolewa kwa Babu Seya na kwenda kwenye show yake.
 
..Na msimamo wa Jiwe mnaujua?

..mmemsikia alichokisema akiwa mbeya?

..sikiliza video kuanzia dakika 2:19

Ni vizuri kumsaidia Rais kwa takwimu sahihi! Haingii akilini kumtajia idadi ya watu jiji la Mbeya ni Milioni Tatu! Hata Mwanza ambalo ni jiji kubwa la pili nchini baada ya Dar es Salaam idadi ya watu haijafika Milioni moja na nusu! Mbeya ni chini ya Milioni Moja! Sasa angalia Mh Rais anawaza kugawa Mbeya kwa takwimu zisizo sahihi! !
 
Sio msimamo wake tu bali ni msimamo wa watanzania na ndio maana hadi Lowassa akalitumia hilo suala katika kampeni zake kama ingekuwa ni jambo ambalo watanzania hawalipendi basi asingeweza kusema kwenye kampeni kuwa atamtoa Babu Seya.

Lakini pia ingekuwa watanzania hawalipendi hili suala basi wasingeshangilia kutolewa kwa Babu Seya na kwenda kwenye show yake.

..msimamo wake kuhusu kulawiti watoto ni upi?

..watanzania hawakwenda jela na kumchomoa Babu Seya na Papii.

..hili suala msiwatupie wananchi wakati ameamua mwenyewe bila kushinikizwa na mtu.

..Je, watanzania walimtuma awape heshima ya kuwapokea Ikulu?
 
Mkuu naona unajizungusha zungusha tu,nimekwambia kama si hao wananchi kuomba Babu Seya aachiwe basi hata Lowassa asingesema katika kampeni zake kuwa atamtoa Babu Seya akipata urais na nimekwambia wananchi kama wangekuwa hawataki kuachiwa kwa Babu Seya basi wasingeshangilia baada ya Magufuli kutekeleza ombi lao la kutaka Babu Seya kuachiwa huru.
 
..huwezi kukaribisha WALAWITI nyumbani kwako halafu ukasema unapinga uchafu huo.

..mwambieni mwenyekiti wenu ajitokeze na kuomba msamaha kwa kunajisi IKULU tuliyorithi toka kwa Baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom