Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Tusha mchoka kwani nanihajui kwamba alipingwa risasi kila ujinga huo huo tu
 
Tundu lisu aache hasira kama amesema mungu ndio atawajibu waliomdhuru bhasi aamwachia mungu that point ila yeye cha msingi focus kwenys kampeni zake apapambane kweli ila tatizo anachoniuzi ni kutukana jukwaani kwani kampeni lazima ufanye mpaka untukane mwenzako mimi rais wangu ni membe
 
EEE ....Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma usikie sala zetu!wote waliohusika ,kupanga na kuratibu jaribio la kumdhuru Mh.Lissu waaibike na kudheheka mchana kweupe....Mwenyezi Mungu tenda maajabu yako!AMINA
 
Nitukane mimi usihamishe magoli.Ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta
Siku nyingine usitumie lugha ya matusi....
jibu kistaarabu hakuna sehemu nimeanza kukutukana mimi.....
 
Mungu awe pamoja naye, hili ni fumbo zito maana mpaka Sasa halijafumbuliwa Lissu alipigwa risasi , Mbowe aliteguliwa mguu wanaofanya hivyo hawajulikani Basi na hili tumuachie Mungu Kama tulivyofanya kwenye Covid-19, Lakini Lissu kushinda urais 2020 ni vigumu sana.
 
AMINA!

Mungu wetu ni mwenye nguvu sana (cc: Solomon Mkubwa)
 
Haihitaji Kira za huruma!! Mwambie magufuli wakutane kwenye mdahalo mmoja uone atakavyogalagazwa asubuhi😀
Mdahalo haupigi kura
Mkuu, ni busara zaidi kukaa kimya. Hajaomba kura za huruma! Mungu alishamhurumia kwa kumponya kura ni jambo lingine na kama ni mpango wa Mungu binadamu hata akibeza!!!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Dawa imeingia. Naona mmekuja vurururuvurururu!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Inaumiza sana kwa jinsi alivyoumizwa kila mahali, nimemsikia kwa kweli ni tukio baya na wahusika watalipwa kwa matendo yao na Mungu Mwenyezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…