Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Kama makusudi ya Mungu ilikuwa kumbakiza Lisu kuwa hai ili aweze kuiongoza nchi hii yatatimia tu hata figisu za namna gani zifanyike na Kama sivyo lipo Jambo ambalo Mwenyezi Mungu anahitaji tujifunze kupitia machungu aliyo yapitia Lisu.
 
Wamarekani wanaita "fella" means non-standard spelling of fellow, used in representing speech in various dialects.
Nomino Edit
fala (wingi mafala)

mtu mjinga
Tafsiri Edit
Kiingereza: fool (en)
Luhya: omsilu (luy
 
Yaliyomkuta yanaumiza lakini asifikirie kwamba atakuwa rais kisa alipitia hayo.

Urais asahau
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
 
dereva na mbowe ndiyo wanajuwa walichokifanya ndiyo maana wamemficha dereva na ipo siku watamtoa tu na upelelezi utaanza
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
 
MANENO YA KUKATA TAMAA HAYO HUYU CHIZI AMWACHIE MUNGU? ANAHAMU YA KUNYONGA WATU HUYU
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu. Kwa kifupi tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea.
 
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Kwanini usiweke wazi kabisa sasa hivi?
 
Muulizeni Tundu Lissu anamwongelea Mungu yupi! Yeye anawacheka sana watu wanaokwenda kuabudu misikitini na makanisani anawaita wamechanganyikiwa. Sasa leo anawakumbuka. Kwani mara ya mwisho huyu jamaa kuingia kanisani au msikitini ni li
 
Aliebariki Hilo shambulio Ni mzee wa mission MBOWE, JPM angemtaka lisu siku ile ile mchezo ungeisha na hata huko Belgium alikoenda angemalizwa huko huko siku nyingi
Tuna Rais wa ajabu mno, haijapata kutokea duniani kote.
 
Huyo ndio mgombea wa kuitoa ccm madarakani. Sanduku la kura halitamuonea huruma. Na uchaguzi huu game itapigwa kwa usawa hadharani.
 
Amina. Pole sana TAL.
Ushindi wake utategemea jinsi watakavyo dhibiti upigaji na kuhesabu kura kwenye vituo siku ya uchaguzi. Wawaandae mawakala wao kwa hekaheka za siku ile. "The electoral commission is very negative, hostile, and biased against him".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…