Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Mmmmh bila mbinu mbadala ktk machakato mzima wa uchaguzi, sidhani km inaweza kutokea mabadiliko, lazima tubadilishe mbinu kuutoa utawala wa udhalimu.
Udhalimu unaenda kufika mwisho. We hamasisha upihaji kura mahali ulipo.
 
LISSU akigimbea atanifanya na mimi niende nikapige KURA tena mwaka huu maana nilishakata tamaa.
 
Hesabu hizi ni kama kilimo cha kwenye mtando, eti unawekeza laki saba kwenye eka ya matikiti baadae unavuna na kuuza unapata milioni 20
Hahha makadirio ni muhimu. Hata ispokuja sahihi lakini angalau unakuwa na mahesabu
 
Kama huna taarifa form amesharudisha, ya kugombea uraisi!!
Lissu alikuwa kwenye matibabu ulaya baada ya kupigwa marisasi na kupona kifo ,hakuna asiye lijua hilo!!
Wewe unasema kuwa alijump bail kweli bila aibu??
Wewe ni muhusika nini, Mungu amemponya ni lawyer atapambana na maswala ya mahakamani.
Keep cool things are under control, God is our driver!!
 
God is our Lord
 
Nani kamjari mnyonge zaidi ya JPM hata upinzani mnajua hilo,

ubabe, jeuri na ukatili ni kwa wale wasiolitakia mema taifa wahujumu wa nchi na wasio tii sheria za nchi!!

Namwamini sana huyu jamaa JPMe
Nyonge yupi unayemsema wewe??
Kg ya sukari ilikuwa 1200Tshs sasa ni 3000Tshs+- !!
Mtwara na Lindi malipo ya korosho bado yanapelekwa, cheque ya Tshs20Billion imepelekwa leo na PM.
Bei ya mbaazi ilikuwa/ Tshs 250,000/=+- 2015 sasa ni Tsh 50,000/=+-.
Unafikiri hao wakulima au pesants wanaishi vipi kwa hali hiyo??
Wanyonge wepi hao to mantion just a few??
Ukombozi unatakiwa from these black colonialists!!
 
hizi ndoto ni za lini tena?
nashangaa mnaofikiri ushindi wa Urais kupitia kwa Antipas Tundu Lissu bora hata Nyalandu wa Singida
maana kuna Membe anayeongoza Chama cha Upinzani ACT kitakachosumbua angalau 6% kura ya Urais
 
wasomi wa vyuo ni jipu!
hawajitokezi kupiga kura ndo tatizo lao
lakini wanategemea mabadiliko ,sijui yatoke wapi
 
Hivi kuna watu mnaowaza kwamba upinzani watashinda uchaguzi.......??
 
WATANZANIA WENYE ELIMU YA ZAIDI YA FORM IV TANGU UHURU MPAKA LEO, HII INACHANG'ANYA NA WALIO KUFA NI 912,300, SASA HAWA MILIONI 16.7 TUNAWATOA WAPI ?
 
wasomi wa vyuo ni jipu!
hawajitokezi kupiga kura ndo tatizo lao
lakini wanategemea mabadiliko ,sijui yatoke wapi
Inaonekana wewe hufuatilii mambo, 2015 Vyuo vilifungwa ili wanafunzi waende makwao ili hali walijiandikisha maeneo ya vyuo vyao!!
Kusema hawapigi kura ni kuwaonea bure!!
 
Mimi nasubiri kipindi cha kampeni niwasikie ccm wanaposema "tumetoa ajira za kutosha kwa vijana"😂😂
 

Mkuu. Unaongea sana. Mshindi hapigi Kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…