Nani wa kuwatangaza washindi?? Tume hii hii??Upinzani ukiungana, njia ni nyeupeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kuwatangaza washindi?? Tume hii hii??Upinzani ukiungana, njia ni nyeupeee
Udhalimu unaenda kufika mwisho. We hamasisha upihaji kura mahali ulipo.Mmmmh bila mbinu mbadala ktk machakato mzima wa uchaguzi, sidhani km inaweza kutokea mabadiliko, lazima tubadilishe mbinu kuutoa utawala wa udhalimu.
Hilo tunalitafutia Mbinu lisije kutuathiri tena.Lazima chadema wagawane kura na act
Hahha makadirio ni muhimu. Hata ispokuja sahihi lakini angalau unakuwa na mahesabuHesabu hizi ni kama kilimo cha kwenye mtando, eti unawekeza laki saba kwenye eka ya matikiti baadae unavuna na kuuza unapata milioni 20
Siyo wewe peke yako.LISSU akigimbea atanifanya na mimi niende nikapige KURA tena mwaka huu maana nilishakata tamaa.
Nisahihishe Mkuu. Kukosolewa ni njia ya kujifunza.Hapo mwisho ndio umeharibu
Kama huna taarifa form amesharudisha, ya kugombea uraisi!!What is this supposed to be!? Bandiko au andiko la kumpigia kampeni MDIASPORA LISSU au MKIMBIZI LISSU? Mgombea hajaja, hajachukua fomu, hajajitokeza hadharani, nyinyi wenye bahati wachache ndio MNAMUONA MITANDAONI na kumsemea. Haya tusubiri tuone mambo haya yatakavyo kuwa as we approach his arrival date, alisema anaingia Tanzania lini, tarehe 27/07/2020? Anasubiriwa ajibu kesi zake na kosa la KU-JUMP BAIL! All the best wapiga debe.
God is our LordKama huna taarifa form amesharudisha, ya kugombea uraisi!!
Lissu alikuwa kwenye matibabu ulaya baada ya kupigwa marisasi na kupona kifo ,hakuna asiye lijua hilo!!
Wewe unasema kuwa alijump bail kweli bila aibu??
Wewe ni muhusika nini, Mungu amemponya ni lawyer atapambana na maswala ya mahakamani.
Keep cool things are under control, God is our driver!!
Nyonge yupi unayemsema wewe??Nani kamjari mnyonge zaidi ya JPM hata upinzani mnajua hilo,
ubabe, jeuri na ukatili ni kwa wale wasiolitakia mema taifa wahujumu wa nchi na wasio tii sheria za nchi!!
Namwamini sana huyu jamaa JPMe
WATANZANIA WENYE ELIMU YA ZAIDI YA FORM IV TANGU UHURU MPAKA LEO, HII INACHANG'ANYA NA WALIO KUFA NI 912,300, SASA HAWA MILIONI 16.7 TUNAWATOA WAPI ?Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.
Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi.
1. Serikali imeamua kuwanyonga na kuwakamu mpaka damu graduates ( waliomaliza vyuo vikuu) kwa kutunga sheria mbovu za makato ya mikopo asilimia 15 kinyume cha sheria iliyokuwepo kwenye mkataba cha asilimia 8 tu. Hali hii iliyotetewa na wabunge wa CCM huku bunge likiwa gizani imeleta umaskini badala ya kuboresha maisha ya wahitimu hawa mara wanapoajiriwa au kujiajiri badala ya kuleta nafuu.
Imefika mahali mwajiriwa anaona bora asipate ajira afanye udalali au hata umachinga tu.
Mfano ni kijana mmoja nimekutana naye kwenye ofsi za bodi ya mikopo aliyesomea nchini China. Baada ya kupata ajira mshahara wake yaani gross salary ni 1.2M baada ya makato ya kodi za kikoloni na 15% ya Bodi ya mikopo anabakiwa tu na laki sita. Hali ni tete
2. swala la ajira limekuwa mtihani mkubwa na sintofahamu. Waliomaliza wanasugua visigino huku hakuna taasisi inayotoa mikopo nafuu ili wajiajiri kirahisi .walioko vyuoni hawaoni future yao maana wanaona kaka zao na dada zao wanavyohaha mtaani
Kundi hili kubwa litapata nafuu tu litakapomchagua kiongozi sio tu mwenye uchungu na maisha ya watanzania bali pia yeye mwenyewe ni mhanga wa uchumi mbovu uliosababishwa na serikali ya Rais Magufuli.
Hima hima wanavyo, wafanya kazi twende na Lissu Mzalendo wa Kweli.
Upinzani tunajua hakuna kama Lissu kwa muda huu. Tupeni haki yetu kwa kutuletea Mgombea mwenye sifa, uwezo na weledi wa kutuongoza. Kama Mgombea siyo Lissu hatutaki kusikia akina Membe? Nyalandu wala Lipumba. Ni bora tubaki na huyu huyu mvurugaji tutamzoea hivyo hivyo.
Asalam aleykum.
Inaonekana wewe hufuatilii mambo, 2015 Vyuo vilifungwa ili wanafunzi waende makwao ili hali walijiandikisha maeneo ya vyuo vyao!!wasomi wa vyuo ni jipu!
hawajitokezi kupiga kura ndo tatizo lao
lakini wanategemea mabadiliko ,sijui yatoke wapi
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.
Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi.
1. Serikali imeamua kuwanyonga na kuwakamu mpaka damu graduates ( waliomaliza vyuo vikuu) kwa kutunga sheria mbovu za makato ya mikopo asilimia 15 kinyume cha sheria iliyokuwepo kwenye mkataba cha asilimia 8 tu. Hali hii iliyotetewa na wabunge wa CCM huku bunge likiwa gizani imeleta umaskini badala ya kuboresha maisha ya wahitimu hawa mara wanapoajiriwa au kujiajiri badala ya kuleta nafuu.
Imefika mahali mwajiriwa anaona bora asipate ajira afanye udalali au hata umachinga tu.
Mfano ni kijana mmoja nimekutana naye kwenye ofsi za bodi ya mikopo aliyesomea nchini China. Baada ya kupata ajira mshahara wake yaani gross salary ni 1.2M baada ya makato ya kodi za kikoloni na 15% ya Bodi ya mikopo anabakiwa tu na laki sita. Hali ni tete
2. swala la ajira limekuwa mtihani mkubwa na sintofahamu. Waliomaliza wanasugua visigino huku hakuna taasisi inayotoa mikopo nafuu ili wajiajiri kirahisi .walioko vyuoni hawaoni future yao maana wanaona kaka zao na dada zao wanavyohaha mtaani
Kundi hili kubwa litapata nafuu tu litakapomchagua kiongozi sio tu mwenye uchungu na maisha ya watanzania bali pia yeye mwenyewe ni mhanga wa uchumi mbovu uliosababishwa na serikali ya Rais Magufuli.
Hima hima wanavyo, wafanya kazi twende na Lissu Mzalendo wa Kweli.
Upinzani tunajua hakuna kama Lissu kwa muda huu. Tupeni haki yetu kwa kutuletea Mgombea mwenye sifa, uwezo na weledi wa kutuongoza. Kama Mgombea siyo Lissu hatutaki kusikia akina Membe? Nyalandu wala Lipumba. Ni bora tubaki na huyu huyu mvurugaji tutamzoea hivyo hivyo.
Asalam aleykum.
Labda wanafunzi wa lile genge la GamboshiWanafunzi wote ninaowajua wanamuunga mkono Magufuli, wote ni CCM, hawataki hata kusikia jina Tundu.
Wamekudanganya kwa kuogopa kutekwaWanafunzi wote ninaowajua wanamuunga mkono Magufuli, wote ni CCM, hawataki hata kusikia jina Tundu.