Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

Uchaguz huu chadema na Act watapigana wao kwa wao kwan za chin chin membe anagombea Act [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]apo kwenye majukwaa ndio patakua patam
 
John Pumba Maharage anaelewa zaidi,muulize
 
Yaani siasa ni mchezo wa kijinga Sana,Lisu atakapotqngaza kuunga mkono juhudi ndo utajua kweli siasa ni Sio hasa.
 
In Lema's voice "nataka nkirudi dar isimame kaka" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akaribu sana nchini mwake mumpitishe kule terminal 3 mpya na pale tazara barabara ya juu mwonyesheni na rell ya tren ya mwendo kasi alafu mleteni na ubungo flyover nyoosheni aone utengenezaji wa barabara 6 kianzia kimara hadi chalinze msisahau kumpelea kule sitigilazi geji inakotengenezwa alafu mkirudi mkapige pige nae picha pale daraja la salenda ( angalieni asipotee )kisha muulizeni ana la kusema?alafu ndio mkampumzishe kwanza akusanye nguvu kidogo ya kupiga kampeni ili asije kudondoka jukwani kwa kukosa nguvu maana saa hivi kijeshi tunasemaga ni unfit.
 
Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani shida iko wapi mbona mnaacha shughuli zenu za kujitafutia rizki mnaenda kushangaa nakupokea ndege??
 
Mh. Tundu Lisu, unakuja kwenye makucha ya Simba. Kwangu mimi nakushauri usije kama kuna International Security assurance or anything of that nature ( sijui kama ipo anyway). Short of that sioni your precious life to be in safe custody. Ujue unakuja kwenye makucha ya Idd Amin, alimuua hata Askofu Mkuu wa Anglican Church Janan Luwum
Anayekushauri anakushauri si vema
 

Acha aje tuone, the more he stay there ccm wataendelea kuchonga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…