Hiyo mikataba inasainiwa chumbanHiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Lissu alikwambia anatafuta akufae wewe, kufa kama unaona hakufai wakuzike kama baba yenuLisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.
Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.
Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?
Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?
Dawa ni serikali kumpa kazi na kumlipa kushughulikia hiyo kesi kama mwanasheria nje ya mwanasiasa tuone itakuaje(mchawi mpe mwana alee)Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.
Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Hehehe....limebuma sasa wanatafuta wakumwagia lawamaHiyo mikataba inasainiwa chumban
Ikibuma ndiyo wananchi wanajua kama hili
Je wewe unajua tunadaiwa?? Na mswis??
Kwa nn usiseme walio sain washughulikiwe
Wewe unakomaa na lisu??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Excuse me, nchi ya nani? Mtu anaefurahia maswahibu anajiita mwenye nchi?Lipeni tu madeni ya watu. Msilaumu mtu ambaye hayuko serikalini na mmekimbiza nchi yake.
Mikataba watu wanasaini kwenye maficho vichakani ikibuma wanataka kumlaumu asiyehusika nayo kabisa🤣🤣🤣Kama ni kweli Lissu huwa anafurahia sana maswala ya ndege zetu kushikwa nje.
Why is he doing that? Ana maslahi
Gani na hao wanaozikamata?
Angekua raisi by now na ndege zinakamatwa angekua anachekelea hivi?
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.
Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Hzi tetez za ndeg kukamtwa sijasisikia bado Wala hakun Uzi jmn
Kama una Uzi naomba. Link nisome
Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?Mikataba watu wanasaini kwenye maficho vichakani ikibuma wanataka kumlaumu asiyehusika nayo kabisa🤣🤣🤣
Excuse me, nchi ya nani? Mtu anaefurahia maswahibu anajiita mwenye nchi?
You sound stupid. Hakuna hata mmoja alienijibu kwa hoja. Sasa kupigwa risasi na swali nlilouliza vinahusika nini. Aendelee kuota kuja kuiongoza Tanzania atasaga lami! Patriotism hana!Mbona na nyie mlifurahia alipopigwa risasi?. Lipeni acheni utapeli.
Kwani nani amemlaumu? Kwanini usiende kwenye swali nililouliza. Kwanini tundu anafurahia sana shida za nchi hii! Does that make him eligible to be thé president? For instance angepewa uraisi akakuta kuna madeni yanayotaifisha ndege angeendelea kuchekelea?
Mnakuwaga very irrational. Jibu swali toa mihemko
Sasa alipokuja kugombea uraisi alikua anagombea ili? Si anafurahia hasara ya taifa. Nani ampe uongozi? Endeleeni kuota😂Nchi gani?. Iliyoshindwa kufanya upelelezi wa yeye kupigwa risasi?. Nchi gani iliyomfukuza ubunge na kutomlipia gharama za afya. Ondoa upuuzi.
You sound stupid. Hakuna hata mmoja alienijibu kwa hoja. Sasa kupigwa risasi na swali nlilouliza vinahusika nini. Aendelee kuota kuja kuiongoza Tanzania atasaga lami! Patriotism hana!
Sasa alipokuja kugombea uraisi alikua anagombea ili? Si anafurahia hasara ya taifa. Nani ampe uongozi? Endeleeni kuota😂