Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

Hiyo mikataba ilikuwa na faida gani kwenye Nchiyako.
Huyo lisu kama anaakili angetafuta namna ya kuinusuru ncniyake otherwise ni msalititu.
Mikataba ya kiunyonyaji ni kazi ngumu sana kuivunja,hata Magu alifanya tu ubabe, Mabepari bado wanaitawala Africa kwa njia za nyingi za kiutapeli!!!
 
Badala ya kukamatwa mali na vitu vya thamani vilivyogharamiwa kwa kodi zetu, ingelikuwa ni vema wanaotudai wakawakamata viongozi wakuu wa nchi ili kufidia madeni yao.

Viongozi hawa wakikamatwa iwe ni jukumu la ndugu na jamaa zake kumkomboa (maana mchuma janga hula na wa kwao).

Sheria za kimataifa zinasemaje katika hili?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hili ni wazo la kufungia mwaka!

Achana na hizo sheria, wewe unadhani hao watawala wa dunia hawawezi kumkamata na kumshikilia kiongozi yeyote wa hivi vinchi uchwara wakimhitaji?

Akishakamatwa ni swala la kutungiwa hadithi tu, kama zile walizomtungia Saddam ili kuondoa shobo la kitendo chenyewe.
 
Hii ingesababisha kutekana sana. Upo zako club unamwagilia moyo kumbe unawindwa. Unanyakuliwa na kujikuta upo Missouri huku watu wakidai chao
 
Inawezekana Kiongozi kukamatwa. Mfano, Tundu Lissu na Godbless Lema wote wameshikiliwa Ulaya. Au hujui hilo?
 
Lisu meno yote nje kwa furaha ndege za Tanzania zikikamatwa!
Watanzania tudai kodi tuliyotumia kumsomesha Lisu hana faida yoyote kwa taifa.


Kama ndege hazikupigwa mnada enzi ya Magufuli hazitapigwa mnada tena
Unamawazo mfu sana, mtu kuelimisha watu ndio kufurahi?
 
Na wewe tuonyeshe furaha aliyoonyesha Lissu,habari inasema alipokuwa akijibu swali, haya tuomyeshe wapi kafurahi?
 
Umeona lini au umesikia wapi lissu akifurahi?.au unaamini porojo za vilaza wa uku Jf wasiompenda lissu.Lissu hana huo ujinga.
 
Mimi nafuga Mbuzi lakini Mbuzi mmoja asipoonekana Nyumbani hapa laliki atatafutwa huyo mpaka apatikane , Sasa ndege kubwa vile na inajulikana ipo wapi siwaende wakaikombo fasta?
 
Hii ina muda mrefu huko Netherlands, walikaa kimya wakidhani haitajulikana
 
Mh bongo bhana juzi ndege mbovu.used.panga boy.zina kunguni"

Leo tunataka ndege yetu. Aiseeh watanzania tuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…