kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,547
- 2,384
Mkuu busara inatoka wp kwa mtu aliyevamiwa ??? unajua maana ya kuvamiwa?? vitu vingine muwe mnalaumu wkt huo kitu kina uhalisia yaani ni Kama alivyovamiwa alitulia tu, si bora hata kajeluhiwa mkuu angeuwawa jeMbowe amekua mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.
Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Wakamatwe hao wanao piga watu risasi hiyo ni kazi na wajibu wa wakubwa!!Mtu yupo ulaya snasema atatoa kauli ,Njoo nyumbani acha kuisema nchi vibaya Kua mzalendo ,Tumuunge Raisi wetu Magufuli amefanya mambo makubwa sana kwa Watanzania
Sina pumzi zakuandika haya mambo yanatisha sana. Pray for NationNimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo: Ukurasa wake wa twitter
=====
UPDATE
Kwa hiyo huna uhakika kama Lisu atashinda.?Ndomana nadhani Membe ni mtu sahihi kupeperusha Bendera ya Ccm,asingekuwa na roho ya kukalia kimya mambo haya!! Kiongozi mkubwa kukaa kimya haya yakitokea maana yake ni kuyaunga mkono mashambulizi dhidi ya washindani wake.
maisha ni furaha kamwe si vita, uchumi ni kazi na maarifa sio mabavu na kushambuliana. Kufananisha wapinzani na nyoka ni kauli mbaya isiyofaa kutamkwa na hata jambazi
Mshauri aache kusumbua ndoa za watu zitamkosti.Mbowe amekuwa mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.
Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Ni mara ya kwanza amekua harassed?Mkuu busara inatoka wp kwa mtu aliyevamiwa ??? unajua maana ya kuvamiwa?? vitu vingine muwe mnalaumu wkt huo kitu kina uhalisia yaani ni Kama alivyovamiwa alitulia tu, si bora hata kajeluhiwa mkuu angeuwawa je
Mshauri aache kusumbua ndoa za watu zitamkosti.
Ushenzi tuMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Kuwalipa mabeberu? Acha wivu dogoLissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
hahahahahaaaaaaAlafu utawasikia wakisema "tumtangulize Mungu"
Aisee . . . kweli nchi haiendi hivyoMwenyekiti aache kutumia MTUTU WA BUNDUKI kuongoza nchi, kuna leo na kesho. Shauri yake.
Mnachoniudhi uchaguzi ukimalizika hawi raisKaribu sana Mheshimiwa RAIS TUNDU LISSU uzungumze na watz
Hawa jamaa wamezidi uhuni.
Kwa hio hii inafanana na ile ya Mangula kupewa sumu sio?Mtu gani apigwe mguuni tu halafu aachwe, hiyo movie ya kijinga machadema wamejitengenezea imebuma