Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

Hivi siwanasemaga Sunday ni siku ya mapumziko how comes ameachiwa.
 
Bila shaka lengo la polisi ni ili mkutano wa Karatu mjini usifanyike tu..

Nasikia wamasai wa vijiji vyote vya tarafa ya Ngorongoro ambao walikuwa wafanye mkutano na TL hiyo jana, karibu wote walikuja au walikuwa wameshajiandaa kumfuata Karatu kumsikiliza shujaa wao Tundu Lissu..!!

Wasichokijua polisi na hao wanasiasa wa CCM wanao watumia kufanya upumbavu huu ni kuwa, Tundu Lissu atafanya tu huo mkutano na utakuwa mkubwa na wenye kusisimua na kufuatiliwa zaidi na watu Tanganyika na duniani kuliko angefanya kabla hawajamfanyia uhuni wao huu wa leo...!!

Na wasichofahamu ni kuwa, usiku huu huu leo au kesho mapema tu kabla au baada ya kutoka huko polisi, atafanya Press Conference na kuwachana makavu makavu polisi na hao wanaowatuma...!!
 
Police wanataka kutupanda kichwani, nchi ipo na matatizo mengi ya kusolve ila unashangaa katika mambo ya kijinga inatumika rasilimary mda , pesa utafikiri wegner group, ambao hawajui changamoto zinazolikabili taifa, mfano leo kwa nguvu nyingi iliyotumiwa ni pesa ngapi zimeenda kwa nchi maskin kama hii?

Haya sasa hao hao wamepatikana na wengine waliokamatwa wako wapi , na jumla wangapi na ambao bado wangapi? Lazima kujua

Na vipi ikijulikana idadi ya waliokamatwa na waliorejeshwa idadi haishabiani mtawatoa wapi? na vipi wakianza daiwa kama ikatokea ipo hivyo?

Hizi kazi ni dhamana siku kinaumana kwa mfano ,wengine waliokupa maagizo wanakaa pembeni, unaburuzwa ICC na ina kula kwako , unaacha familia na watoto, tukisema mwaona tunawachukia

Mfano leo vipi ikasemekana waliokamatwa ni watu elf mbili nyie mnakuja na watu miambili , na watu wakaja na ushahidi wa watu wao kutoonekana, IGP utaiambia nini dunia ,siombei itokee

Tukisema kufanya kazi kwa mjibu wa sheria ndo hii huwa tunamanisha , ila huwa hamuelewi, taratibu za ukamataji si upo , why vamia mtu kama jambazi , je PGO inasema hivyo

Nimemaliza,
 
Nakazia polisi bongo ni trash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…