Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

P
Polisi bongo wengi ni vilaza
 
Lissu ni mzushi....

Haeleweki....

Ni yeye aliyeipinga serikali kukubali MRAHABA mdogo wa sekta ya madini....

JPM akayafanyia kazi hayo.....ajabu TL akabadilika na kuwa WAKILI wa MAKAMPUNI hayo ya madini aliyoyapinga hapo awali [emoji1787][emoji1787]

Huyu ndugu ni NDUMILAKUWILI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Polisi weziiiiiiii warudishe simu shame on you ,yaani CCM mumeshindwa kuwanunulia hata simu hawa K!!🤣halafu kuna wale wengine wanaosaka vyupi mitaani shame on you ,rudisheni simu na chupi za watu
 
Fala wew jitu zima hovyooo
 
Tatizo nyie michawa ya ccm ,kwanza mambo mengi huwa kufuatilia ni mwiko, daily kujitamba nipo karibu na mtu flan na kuvizia maokoto madogomadogo kwenu ndo la msingi ila wengi mpo wala hamko na uchungu na chama chenu, that's mmebweteka tu, useless ndani ya chama chenu. Mnasubili teuzi na matakamataka mengine

Na kwa tabia yenu hii ,chama kimekufa ,kwa kujua mpo na back up ya vyombo vya dola, ila nawambia hao mnaowategemea na kuwasifu , ipo siku watakuja ingia katika matatizo makubwa na mtawatelekeza , wala hamtakuja kuwa na msaada kwao wala familia zao, ni swala la mda na linakuja ,
 
TL ni mwanaharakati uchwara na si mwanasiasa wa maana.....[emoji1787]

TL anatumikia maslahi ya mabeberu wa BRUSSELS....

Ni yeye aliyeipinga Tanzania kulijenga bwawa la ufuaji umeme Mwalimu Nyerere kwa shinikizo la mabeberu wa BUNDESTAG....

TL hasimamii siasa za "nationalism" bali za kimataifa(ajenda za mabeberu)....

Wakati duniani kunatokea "political shift" kwa mataifa yanayoendelea kuanza "kujitambua" kwa kujiunga BRICS ,yeye anatung'ang'aniza kwenye "illusions na deceptions za mabwana zake" [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unataka UHUNI uzuiliwe kwa njia gani ?!!

Unajikusanyaje bila ya kibali cha polisi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Wananchi tunamuelewa sana.
 
He is a deluded chap....



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini CCM wanaingia kwenye Mitego ya Lissu kiulaini namna hii?
Huu mtego wa kumkamata shujaa hawakuuona kabisa pamoja na ma PhD yao kibao.
Hakuna mtego wowote ule....

Hivi CCM iliathirika kwa wale waliopinga "OPERESHENI VIJIJI VYA UJAMAA"?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unawasemea hao wamasai waasi ?!!!

Wamasai raia wema walikubali kwenda Msomera Handeni....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kweli unabii wa Ian Ndlovu kuhusu kukamatwa kwa prominent leader atakayetoka nje ya nchi imetimia. Alitabiri mwaka jana wakati hali ikiwa shwari kabisa ya maridhiano.
Unatabiri kuwa kesho jua litawaka! Kukamatwa viongozi wa Chadema ni jambo la lazima kama ambavyo jua litawaka kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…