Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Inauma sana, we acha tu. Unajua kinachouma ni dhamira yake ya dhati kuiletea Tanzania Maendeleo!!!!!!!!!
 
HIVI Uliyoandika yanatoka akilin kweli?? Yani mtu amehujum uchumi kisha akatumbuliwa kwa uovu wake eti aludishwe kazini.... DAH ASEE WE JAMAA WEW
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Mmmh! Hapo ndo huwa nathibitisha kwamba Lissu hakuwa Presidential material. Poor reasoning. Wakati wa bunge la katiba pia alilaani maisha ya Nyerere utadhani anastaafu siasa. Ukurasa mpya huanza kila siku lakini kwa Lissu umeanza kwa tukio hili tu!
 
Nimeandika na kufuta, but Lissu mungu anakuona.
 
Maendeleo hayo ni another thing, nauliza hao madaktari wake, washauri wake wote walikuwa wapi kumfanya Mheshimiwa asipate korona ?
Siamini kama ilikuwa ni Corona maana daktari wake alishamtibu ndugu yangu aliyekuwa na corona akapona kabisa. Hivyo asingeshindwa. Siyo Corona ila sijui ni nini! Ila alijua kuwa atakufa wakati wowote ndo maana alikuwa kila siku anatuhusia tumuombee kwa mola
 
Maendeleo bila kujali haki za binadamu ni bure.
Naomba utuache najua unafuraha na sie tuna huzuni.

Angalia historia ya kila nchi hata china, haki za binadamu hayachangamani na maendeleo kijana. Lazima wengine waumie au hata wafe kama yeye ili maendeleo ya nchi yapatikane.

Maendeleo ya watu yanatokana na maendeleo ya miundombinu. Pengine wewe ni under 50 na kwa hiyo bado ujana unakusumbua. Tutache na wenzetu kama mama D tumepoteza ajabu
 
Hivi mtu aliyekukosa kwa risasi nyingi kiasi kile kama ni kweli yasemwayo,chukulia ni wewe je hiyo roho ya msamaha inatoka wapi?kwa nini mnamlazimisha Lussu awe mnafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…