Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
tupe ushahidi kwamba walikuwa wana guess.Aliyesema Magu katangulia mbele za haki tangu 12 March 2021 ni Chahali na huyu hakubadili kauli yake. Alisisitiza hivyo mpaka jana
Wengine walikuwa wanaguess tu. Mara yupo Mzena, Nairobi, kafariki, yupo India, ameparalyse etc
Kwa hiyo aseme vyanzo uchwara au vipi?Eti vyanzo vya uhakika.
Kaka mbona leo ameongea na waandish wa habari na amewaita wabunge waliokuwa kwenye ziara za kamat warudi dodoma haraka.Angalia mwananchi digitalUmemuona hata kwa video au unasikiliza propaganda mfu za Mataga?
Endeleeni kutembeza pua kama mnanusa kopo la mkojo.Ulafi wa madaraka, autumuacha mtu salama....
Atuitaji ukarasa mpya tunachoutaji ni kazi na wala si Lissu kuanzisha kurasa mpya, kwani kila mmoja ataanzisha kurasa zake upya juu ya kupambana na ujinga na upumbuvu uliwajaa wenye matamanio ya kupiga madili.
Wew ni mmoja wapo nadhani...Endeleeni kutembeza pua kama mnanusa kopo la mkojo.
Peleka karata chato
Mbona Mshana Jr alionyesha mpaka route ya ATC ikiwa angani inarudi tz.Toka
Mbona hamkusema wakati anarudi...!
Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.Lisu hawezi kuwa rais
Na hii ndo hoja ya msingiLissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Unadanganya watu,watu wanasherekea kimyakimyaLisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.
Asilolijua Lisu ni kwamba watanzania walikuwa wanampenda Sana Dr Magufuli!!
Siyo lazima awe rais ila haki yake ya kuishi iheshimiwe.Lisu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kamwe!! Amejiharibia Sana!! Amekosa hekima!! Bahati mbaya halijui hilo!! Lisu wa sasa amegeuka kuwa adui wa watanzania walio wengi!!! Asahau urais.
Asilolijua Lisu ni kwamba watanzania walikuwa wanampenda Sana Dr Magufuli!!
Wee ni mgeni hapa nchini?, Majizi na walafi wa nchi hii wako CCM.Mama Samia usiwape nafasi majizi na mafisadi ya mali ya umma!! Saa hii ukiona mtu anajisogeza kwako kwa ghafla, mwogope kama ukoma!! Mafisadi saa hii yanachora ramani!!
Huo ukurasa mpya inayopigiwa chapuo ni wizi mtupu!!
Wakatishwe tamaa kwa kuwaambia: "Tunaendeleza ukurasa huo huo ulioachwa na Dr Magufuli"
CCM washafungwa hao... Walete mpira Kati!
hata alipozungumza kuhusu jeuri yenu dhidi ya corona mlikejeli. ona sasa imewanyooshaLisu anatakiwa wodini Milembe, aje anywe dawa zake za ukichaa! Maana ni mgonjwa wa akili!
Wewe huna unachojua...Mna muda mfupi sana wa kujiongelesha...
Sijasikia kokote hioMbona Mshana Jr alionyesha mpaka route ya ATC ikiwa angani inarudi tz.
Hukuona hiyo mkuu?.
Any way, tumepoteza mpendwa wetu kila mmoja ana majonzi.Sijasikia kokote hio
Ndio naipata kwako.
[emoji1666][emoji2937]Any way, tumepoteza mpendwa wetu kila mmoja ana majonzi.
Tuyaache hayo,tumuombee apokelewe na muumba,ukifatilia sana haya mambo yatatushangaza sana boss.
Kichaa yuko kwenye barafu..Lisu anatakiwa wodini Milembe, aje anywe dawa zake za ukichaa! Maana ni mgonjwa wa akili!