Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Kosa kubwa walilokamatwa nalo ni kusema rais mgonjwa, ilhal ni mzima wa afya. Sasa ukweli umejulikana ya kuwa alikuwa mgonjwa, what happens to them?
 
Tanzania inaweza pata Raisi SHOGA mwaka 2545.
Hapo hata kaburi langu halitakuwepo, labda Lissu takuwepo.
 
Lile wimbo la kwanza la Korona mheshimiwa aliheshimu sana na kufuata tahadhari za kujikinga kwa kujifungia chato karibia miezi mitatu. Sasa sijui ilikuwaje hili wimbi la pili lilokuja kwa ukali zaidi mheshimiwa hakuonekana kujali wala kutishwa na vifo vingi vya mfululizo. Nilishangaa kumuona anaendelea na business as usual.

Ila nawalaumu sana madaktari na watalaamu wa afya, hivi walijua mheshimiwa ana tatizo la moyo yet wakamwacha arisk maisha vile kwa kutojali huu ugonjwa? Kwa nini hawakumwambia ukweli kwamba huu uginjwa sio wa kufanyia propaganda ni wa hatari! Wangetumia hata watu wa usalama kumkanya mheshimiwa kwamba awe serious! Na kumzuia kabisa kuzungukazunguka bila tahadhari!

Kama inteligensia yetu nayo iliogopa kumwambia rais ukweli kwamba kuna hatari kubwa mbele yake, tuwachukulieje?
 
Acha lawama wewe mzee baba alikuwa mbishi asingeweza kukubali asifungue stand
 
Kwasababu wewe Ni shoga na aliwahi kukufirimba bila malipo ndo maana una hasira kiasi hicho,, we tuliza kinyeo tu
Sawa, ukweli ndio huo.
Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania.
 
Utamaduni wetu tuuenzi. Wakati huu ni wa kuwafariji wafiwa na kusema mazuri tutakayoyakumbuka kwake. Kwa wale wanaokumbuka mabaya, ni vyema wakayakumbuka kwa lengo la utanisho.
 
Sawa.... ukweli ndio huo.
Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania.
Rais tunaye, Samia; sasa Lisu anatoka wapi. Sasa hivi ni maombolezo; uchaguzi mwingine ni 2025 na wakati huo ndipo tutajua maana hatujui nani atakuwepo na nani atakuwa amemfuata Magufuli.
 
kila zama zina yake hakuna mmiliki binafsi wa TANZANIA yetu amepita tujipange tusonge ila viongozi wetu HASWA NYIE WAKUU,,, MSIPENDE KUTUDHARAU NA KUTUKEBEHI KATIKA MASUALA YA MSINGI....nna hakika tungepewa taarifa ya KUUGUA kwake mapema.

HAKIKA SALA NA MAOMBI YETU YANGEMPONYA kama tuliomba na Co19 version 1 ikapita...na Kamanda Mkuu angepona....misemo ya kiswahili tunaijua vema na tumeihariri wenyewe...mficha magonjwa kifo humuumbua.

Tujifunze kitu katika hili.....MAOMBI HULIINUA TAIFA. now who's next? bado CHAIN ni ndefu sana........tuendelee kujikinga na corona....IPO...
 
😂😂😂 Naona umekuwa na adabu baada ya kuujua usenge wako
Pokea🖕hiyo ikuliwaze katika kipindi hiki kigumu, pumbavu
Ukweli utabaki kuwa ukweli....JPM amekufa, nafasi yake inachukuliwa na mama Samia.
We utakayeishi milele endelea kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…