Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya



I think hivyo vyote vilikuwa ni haki Yale lisu kuvipata

Na sidhan kama Mh Rais alifanya hayo yote ili kumziba mdomo lisu

Na mtu akikufanyia wema haina maana kama unahisi amefanya wrong usimwambie

And wale ni wanasiasa and not mambo ya personally

Kama unakumbuka kuna wagombea wakati wa kampeni wanakaa kwenye migahawa wanakula na chini na wanainchi

Umewahi kuwaona wanafanya tena hivyo wakishakuwa viongozi?

That's is siasa
 
TAL akimsamehe jombaa, baasi, njia ni nyeupe kwa mwendazake kwenda mbinguni. Afanye hivyo ili amtoe toharani (purgatory). Kwa wakatoliki wataelewa
 
Kweli hapo kakosea ila ndo siasa....daah
Ndio maana mnapewa kofia na tisheti mnaiba kura kwa ajili ya ccm, wakimu hamnazo kabisa..
Ukilipa mishahara au kusalimia nchi ndio uuze nchi?
 
Sahihi kabisa binaadamu tumemumba kusahau, yote aliyofanyiwa ameyasahau akumbuke Kuna maisha baada ya siasa.
 
Sijaelewa.
Nani anasamehe hapo na nani anadamehewa!
 
Yote mema aliyomfanyia hayahalalishi yeye kuuza bandari.

Ni sawa na mtu akufanyie wema sasahivi
Halafu aanze kufanya mabaya ushindwe kuongea eti kwa sababu tu alikufanyie wema nyuma.
 
Mwizi ni mwizi tu hata kama atakufariji. Na kufariji siyo hongo yakumfanya akae kimya kwa wizi
 
Siyo woote wanaoenda kuaga / kudhuru kaburi au kwenda msibani wanamuombea maiti, marehemu wengine wanenda kumsimanga.
 
Wamejaribu upepo wa utanganyika na uzanzibari wameshindwa, wamejaribu upepo wa bandari wameshindwa, sasa wanaona hebu wajaribu upepo wa marehemu; duh mambo ni mengi muda ni mchache😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…