Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukiwa ni mtu wa kufikiria kwa kiwango cha kawaida tu huwezi kumpa Lissu heshima ya ziada.Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
😂😂Kama namwona magu kesho akizirudisha zile ela..
Wewe tulia.Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Serikali ilichangiwa na Nani? Waliochangiwa Ni homeless people, serikali ikapora fedhaUongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Shule Ina faida gani Kama watu wanalala. Nje.Unaacha kujenga shule na hospitali zilizobomoka unamjengea mtu nyumba! Hawa watu watauza nchi hawa!
Lowassa alikuwa hana hoja chokoza dhidi ya Jiwe sasa, miaka 5 ya jiwe imempa hoja nyingi sana TL. Ndio siasa ilivyo mwache tu apate pressure kwa aliyokuwa akiyaropoka mwenyewe kipindi cha nyuma.Kama Kuna mtu anapata pressure za Tundu Lissu kipindi hiki cha Kampeni basi ni Bwana John Joseph Pombe MAGUFULI.
Muziki wa TAL-2020 siyo wa kawaida kabisa. Pressure ya Lowassa kwa Magufuli mwaka 2015 ilikuwa ni cha mtoto!!
Kenya,Marekani,Ulaya wanajengea wananchi waoUongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Ukweli utabaki pale pale mtu anatumia rambirambi badala ya kupeleka kwa walengwa hafai, hata sio kwa level ya urais hata kwa level ya familiaAisee!
Bado sana, Lisu ni mtoto mdogo sana mbele ya CCM na Magufuli
Hahaaa mnajidanganya kwakua watu hawawezi kutoka hadharani. Ila yaliyo mioyoni mwa watu ni mazito.Aisee!
Bado sana, Lisu ni mtoto mdogo sana mbele ya CCM na Magufuli
Tanzania haina mfuko wa maaafa...huyu JIWE wa CHARTTLE kachukua hela zote..na kuzipangia matumizi kibabe..bila kufuata utaratibu...ANAFANYA HII nchi Kama shamba la bibi yake..anajichumia tuUongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Sio kwa fedha za rambi rambi lakiniUongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Na roho ya wiziwizi!Hha ha ha...kuondoka na hela za msiba yahitaji ujasiri mkubwa!!.
Hata pasipo maafa miundombinu lazima ijengwe hilo ni jukum la serikali lkn nyumba au mahitaji ya lazima wakati wa maafa lazima yakabiliwe na michango iliyotolewa kwa wakati huo.Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Watoke hadharani kwenda wapi sasa?Hahaaa mnajidanganya kwakua watu hawawezi kutoka hadharani. Ila yaliyo mioyoni mwa watu ni mazito.
Sisi tunaokaa huku chini tunaelewa