Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Hajawahi kusimama kampeni. Huhitaji elimu kubwa kujua dhamira ya muamala ule.
Ni kawaida yeye kutoa Miamala hata leo kule Morogoro ameshaagiza barabara ipanuliwe na pia watajengewa vibanda kama walivyoomba pale Dumila sasa mkaweke pingamizi nyingine hiyo nyinyi wanasaccos ya Chadema.

Kwa taarifa yenu huyo ni Rais na anaendelea kwa Rais kama kawaida mpaka atakapopitishwa na Tume ya Uchaguzi ndiyo kuanzia hapo ndiyo anatambulika kuwa mgombea wa Urais ila kwa kuwa nyinyi mkiambiwa na huyo Msaliti Lissu mnachukua kama ilivyo endeleeni kuamini kuwa ataweka pingamizi.

Muulizeni na kuhusu kesi aliyosema amefungua huko ICC mwaka 2015 baada ya Lowassa kushindwa imefikia wapi?? Wakati mwingine tumieni akili kidogo siyo kumtegemea kila kitu Msaliti Lissu atawaendesha sana kama gari bovu.
 
Lissu nae dishi limeyumba siyo!?, Ashaona wapi rushwa inatolewa kwa namna ile!?.

Hebu aache utopolo wake aongee vitu vyenye mantiki bhana. Ujue wapiga kura wanasikiliza tu upuuzi wake huo ohoooo.
Ya kununua jogoo kwa laki ni nini kuelekea kipindi hiki😁😁, mwaka huu raha sana nimekitafuta kitambulisha cha kura mpaka nimekipata. Nagosha vidole tu sasa hv nimti mtu spana
 
Humtaki wewe kama nani? Subiri October 2020 uone cha mtema kuni kilichomtoa Kenge manyoa!!
Hata mimi simtaki, sipo tayari kutawaliwa milele nataka katiba ifuatwe.
 
Usikalili vitu wewe mende. Hiki ndicho kipindi maalum cha kuwasema wagombea. Unashangaa nini kuwajadili wagombea. Shida ya elimu ya kuungaunga ukielewa kamsemo ka1 ka kingereza unakatumia hata pasipopaswa.
Sasa hapo hoja ni nini au unaleta VIHOJA tu na VIOJA humu JF!? Tackle the issue or issues, halafu unajua humu JF tuko EQUAL wote masuala ya elimu ni yako kama kinga na hiding place kwa vile HUJUI,HUJIJUI NA HUJIELEWI hivyo unajihami na elimu. Wacha hizo, wana JF wengine wakisema elimu zao UTATAHARUKI. Wacha hizo kabisa!
 
Lakini kwanini magufuri hataki kuacha mambo ya rushwa aisee
 
Sasa ninaomba niimalizie hoja hii, hivi nani aliyesema kwamba wao hawezi kuwekewa mapingamizi. Nani aliyesema kwamba Magufuli hawezi kuwekewa pingamizi?

Turudi kwenye fomu ya pingamizi hii hapa. Tumzungumze Magufuli kwenye fomu hii. Mimi huwa sifanyi uhuni ninakwenda kwa sheria. Haki bin haki.

Kwenye fomu hii, kwenye sababu 16 za kuweka mapingamizi daudi ya mgombea Urais. Kuna la mwisho linasema amekiuka sheria za gharama za uchaguzi.
 
Ni watanzania wangapi wanaweza kumudu kununua kuku kwa shillingi 20,000. Kwanza wapi kuku anauzwa shillingi elfu ishirini tuachene na kuku wa elfu moja.
 
Makanisani kuku huuzwa zaidi ya laki moja.
 
Sasa wakati Rais anafanya hayo yanayolalamikiwa hapa ni katika kipindi kipi Kati ya ulivyotaja.

1. Nomination.

2. Election

Au

3. Campaign period??
Alikuwa kwenye 'campaign period' kwa sababu ukienda kwenye huyo sheria,kule kwenye interpretation section imetafsiri maana yake ni
Election Expenses
(2) This Act shall come into operation on such date as
the Minister may, by notice in the Gazette, appoint.
2. This Act shall apply-
(a) in the case of Mainland Tanzania, in respect of
election expenses for a candidate for the office of
r .c .. =c.... the President of the United Republic, a Member
.., of Parliament and a Councillor; and
(b) -,/.An the case of Tanzania Zanzibar, in respect of a
,- /~andidate for an office of the President of the
1;rl\ited Republic and for an office of a Member of
Par1iament.
/-
I
(-, /,,/
_~ _·_,3. In this Act, unless the context requires otherwise-
" campaign period" means the period commencing immediately
after the nomination day up to the day immediately
preceding election day;
"candidate" means a person whp submits himself for election in
the Office of the President, a·Member of Parliament or a
Councillor;
"contested election" means an election in a ward, constituency
or Presidential election in which there are more
candidates than are vacancies;
"Constitution" means the Constitution of the United Republic of
Tanzania, 1977;
"Councillor" means a person who is elected in the office of -
(a) in relation to a district, a District Council;
(b) in relation to a municipality, a Municipal
Council;
(c) in relation to a city, a City Council; and
(d) in relation to a town,
Sasa wakati Rais anafanya hayo yanayolalamikiwa hapa ni katika kipindi kipi Kati ya ulivyotaja.

1. Nomination.

2. Election

Au

3. Campaign period??
Alikuwa kwenye campaign period, kwa sababu ukienda kwenye hiyo sheria inatoa tafsiri kwamba ni kipindi baada ya nomination day hadi kipindi kabla ya Uchaguzi, hivyo basi tafsiri yake ni kwamba ukishateuliwa na Chama tayari uko kwenye campaign period,hivyo ni kipindi baada ya nomination na kabla ya uchaguzi kufanyika hivyo basi kwa tafsiri hiyo maana yake Hugo Mheshimiwa alikuwa kwenye campaign period kwa mujibu wa tafsiri ya hapo juu niliyoitoa.
 
Hiyo ni harambee, unajua harambee? naona unajina la kidhungu, fund raising, unaelewa maana ake, unajua inafanyikaje fund raising?
 
Kwani kaanza jana kutoa hizo pesa? Si mnemueleza rais wenu mtarajiwa wa FB TWITTER NA INSTAGRAM kwamba ana miaka mitano anagawa pesa mitaani kama Askofu wa Mererani. Naona hafahamu ama dawa alizopewa ni kali sana
Uko nje ya topic
Hapa tunajadili je wakati hiyo pesa inatolewa huko alikuwa kwenye campaign period au hakuwa kwenye campaign period, na je kuna sheria inayokataza kutoa hela bila mpangilio baada ya nomination day.
 
Lissu ni kichaa nafikiri zile risasi zimemadhiri kwenye ubongo wake!

Jina Lissu limeandikwa wapi unalolirejea kwenye bandiko lako?

Au ndiyo kuweweseka sasa hamjui mliandike wapi au mliache wapi?

Hiiiii bagosha!
 
Nilichomuelewa lissu ni kwamba, yeye anataka uchaguzi wa kistaarabu hataki mambo ya vurugu hasa vurugu za kihuni ndiposa akasema ikiwa mtaleta uhuni na yeye atawavuruga kwa kumuwekea magufuri pingamizi sababu kanunua kuku kwa shillingi laki moja na pia ametoa rushwa huko kibiti ya milioni tano.

sababu naona mmepaniki utadhani amesema anaenda kuweka pingamizi.
 
Back
Top Bottom