LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Anayewapanikisha ccm ni lissu tu kwa upande wa bara, Kule Zanzibar ni maalim seif
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefufuka?
Daah! Watu wana maneno!!!!Tundu Lissu hamna kitu,anachokifanya ni sawa na kujamba kwenye maji
lilishajibika hili amejiandaa ajakurupuka kuchukua fomu.NEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
kipi amewahi shinda maishani akashinda,ubunge alibebwa urais alibebwa.Bila kubebwa hawezi shinda chochote hana uwezo binafsiAcheni kuhangaika, hivyo vigezo mnavyojidai navyo mtavitolea mbinguni au wapi?
Si mnajidanganya jamaa yenu anakubalika, sasa kama ndio hivyo mpelekeni uwanjani akashindane, sio mnaanza kutetemeka mapema hivi.
subiria october ndo utajua afai au anafaa,aturudii kosa tena,yaani tupigwe njaa again 5 yrs nani kasema.Mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba Lisu ndo dwa ya njaa kwa watz, shibe kwanza mengine ya ziadaMkuu acha kuweweseka,mwaka huu mnapenda kushitaki wapi? Uchaguzi wa mwaka 2015 mlikimbilia CCJ mwaka huu MNA mawakli wa Amsterdam, hivi ni vituko
Kila Mara twawambieni huyu lissu hafai anawapotosheni ninyi hapana kuelewa
Lissu hafai anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda amani naaendeleo
Ni kawaida yeye kutoa Miamala hata leo kule Morogoro ameshaagiza barabara ipanuliwe na pia watajengewa vibanda kama walivyoomba pale Dumila sasa mkaweke pingamizi nyingine hiyo nyinyi wanasaccos ya Chadema.
Kwa taarifa yenu huyo ni Rais na anaendelea kwa Rais kama kawaida mpaka atakapopitishwa na Tume ya Uchaguzi ndiyo kuanzia hapo ndiyo anatambulika kuwa mgombea wa Urais ila kwa kuwa nyinyi mkiambiwa na huyo Msaliti Lissu mnachukua kama ilivyo endeleeni kuamini kuwa ataweka pingamizi. Muulizeni na kuhusu kesi aliyosema amefungua huko ICC mwaka 2015 baada ya Lowassa kushindwa imefikia wapi?? Wakati mwingine tumieni akili kidogo siyo kumtegemea kila kitu Msaliti Lissu atawaendesha sana kama gari bovu.
pale ni rushwa sawa na zile za makanisanitindo tumia akili, hivi alinunua jogoo? Au alipewa jogoo nae akampa yule mzee laki moja? Wapi kulikuwa na biashara ya mauziano?
Humtaki wewe kama nani? Subiri October 2020 uone cha mtema kuni kilichomtoa Kenge manyoa!!
huwa yanangwa matukio haya kama yapangavyo ya siku zote.Cheap na childish political,hana hoja ya kuwaaminisha watz again kwa njaa alizowatesea.tindo tumia akili, hivi alinunua jogoo? Au alipewa jogoo nae akampa yule mzee laki moja? Wapi kulikuwa na biashara ya mauziano?
Huwezi jua kama wewe unajua kumeza tuuu!Hapa naona tu furushi la maneno ya kiswahili yasiyokuwa na mashiko yoyote.
Mtanyooka tu October siyo mbali bado miezi miwili tu midomo yenu iwe kimyaa bali kutoa mapovu tuuu!!Jina Lissu limeandikwa wapi unalolirejea kwenye bandiko lako?
Au ndiyo kuweweseka sasa hamjui mliandike wapi au mliache wapi?
Hiiiii bagosha!
Lissu noma sana, hii miaka mitatu ya matibabu uhamishoni angeitumia hapa nchini kuna watu wangekufa kwa mashinikizo ya damu.Na hapo ndipo penye mtego kwa wana kijani maana na wao mgombea wao atawekewa pingamizi zenye mashiko.
Yani ni jino kwa jino, mguu kwa mguu.
Kumbe unajua? Washauri pia wanasaccos wenzio.Ni kweli, ila sio kwa kura bali kupitia madaraka yake.
Si anawadanganya hao wanasaccos wenzie wasiojua kitu.Kwani JPM ameshateuliwa kuwa mgombea hata kabla ya kujaza fomu nimesikia kesho ndio anachukua fomu na hawezi kuwa mgombea mpaka apitishwe na NEC hata yeye Lisu bado hajawa mgombea kuweka pingamizi