Kwani kaanza jana kutoa hizo pesa? Si mnemueleza rais wenu mtarajiwa wa FB TWITTER NA INSTAGRAM kwamba ana miaka mitano anagawa pesa mitaani kama Askofu wa Mererani. Naona hafahamu ama dawa alizopewa ni kali sanaKifungu ukichokitaja kinaleza kabisa kutoa pesa,zawadi,ajira,au upendeleo wowote ule ni makosa aidha iwe kipindi cha nomination process, election au campaign period
Lissu nae dishi limeyumba siyo!?, Ashaona wapi rushwa inatolewa kwa namna ile!?.
Mhe. Tundu Lissu mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA ameendelea kusisitiza kuwa hawezi kufungwa kwa kesi alizo nazo Mahakamani na kwamba haziwezi kumzuia kugombea Urais.
“Hafungwi mtu hapa” “Nina kesi sita Kisutu na zote ni za uchochezi.” Baraza Kuu la chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, limemchagua Tundu Lissu kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020.
Mhe. Lissu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa si yeye tu anayeweza kuwekewa pingamizi la kugombea Urais bali hata Mhe. Rais Magufuli pia anaweza kuwekewa pingamizi.
"Nani aliyesema kwamba CCM hawawezi kuwekewa mapingamizi? Nani aliyesema mgombea urais wa CCM, John Magufuli hawezi kuwekewa mapingamizi.? " Tundu Lissu, Mgombea Urais wa CHADEMA"
Kwenye fomu ya mapingamizi, kwenye sababu 16, la 16 Magufuli amekiuka Mambo yaliyokatazwa moja wapo ni rushwa maana ukishaingia kwenye uchaguzi huruhusiwi kutoa rushwa, Magufuli akiwa anatoka kumzika Mkapa Lupaso, alifanya nini Kibiti? " Tundu Lissu, Mgombea Urais wa
CHADEMA
Lissu amesema kitendo cha Rais kutoa fedha Kibiti, kununua jogoo kwa Laki Moja ni rushwa wakati wa uchaguzi.
Mhe. Lissu katika moja ya sera zake amesema iwapo atashinda basi atakuwa na jukumu kubwa la kurudisha uhusiano wa nchi kimataifa.
"Tukishinda urais wa Tanzania, mimi nitakuwa Rais wa Katiba mpya. Kama tunataka mfumo mzuri wa utawala, mahali pa kuanzia ni Katiba mpya. Hii ndilo tutaanza nalo. Haina maana hatutajenga shule, kuboresha Sekta ya Afya '
MY TAKE: Bado tutandelea kushuhudia matamko mengi kwenye Uchaguzi huu ni juu yetu watanzania kumpima kila mgombea ili tupate kiongozi bora kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Mi pia najiuliza kwanini anakomalia kuingia barabarani sio mahakama kuitafuta haki yake! Naanza kupata wasiwasi huyu jamaa kaja kufanya fujo sio uchahuziHapa nafikiria sana kwanini lisu ashaanza kujihisi kunyimwa fomu? kama yuko clean why anaanza kutengeneza picha ya kunyimwa fomu na inajulikana huyu ni mwanasheria sasa kama anazijua sheria hofu yake ni nn?
Atulie mpk siku iyo atakayoenda kuchukua !
Good atawaletea na ndoa za jinsia moja😂😂. That's it.Ni kweli tutaendelea kusikia mengi Ila:
View attachment 1527403
kwa dhati kabisa, huyo ndiye aliye kiongozi bora kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Bado NEC haijampitisha....nimeelewa.Kesi ya kitumbafu kabisa hii.
Rais alikuwa kwenye majukumu yake ya kila siku, Bado NEC haijampitisha kama mgombea kwa nafasi ya Urais, Bado kampeni hazijaanza Rasmi.
Haujaeleweka mkuu, please come again 😝.Ofcourse MAGUFULI ANATUMIA KUFANYA KAMPENI KILA SIKU KUZINDUA NA KUUNGUMZA MAMBO YASIYOHUSIKA.
Pressure ipi mkuu haujaeleweka ujue.Lissu sasa ni wazi atamuua Mzee baba kwa pressure
NEC. hawatampatia fomu maana ana kesi za kujibu lakini pia ana zuio la maadili ya utumishi wa umma. Lakini ningeshauri wampe.
Rais ndio amekuwa nominated na CCM kugombea nafasi ya Urais.Bado NEC haijampitisha....nimeelewa.
Kwani hujui kuwa jamaa miaka yake yote kule Chato alipita bila kupingwa. Hajazoea mikikiPressure ipi mkuu haujaeleweka ujue.
Kama anadhani hapa, Tanzania, ni mahali pa kufanyia hizo fujo, KAKOSEA SANA na hata hao waliomtuma wanapajua hapa. Yeye afanye siasa tu kama ndio zilizomrudisha SIYO FUJO. Kama hapajui vizuri BASI ATAPAJUA! Huo ndio ukweli na siyo vitisho kwani hajui kuwa dawa ya moto ni moto?Mi pia najiuliza kwanini anakomalia kuingia barabarani sio mahakama kuitafuta haki yake! Naanza kupata wasiwasi huyu jamaa kaja kufanya fujo sio uchahuzi
ibeni matokeo ataingia tu mtaani!Mi pia najiuliza kwanini anakomalia kuingia barabarani sio mahakama kuitafuta haki yake! Naanza kupata wasiwasi huyu jamaa kaja kufanya fujo sio uchahuzi
We nae umetoka usingizini siyo!?, 2015 alipita bila kupingwa siyo!?. We na TL you look alike.Kwani hujui kuwa jamaa miaka yake yote kule Chato alipita bila kupingwa. Hajazoea mikiki
Ibeni kura tu fujo zitafanyika tu!Kama anadhani hapa, Tanzania, ni mahali pa kufanyia hizo fujo, KAKOSEA SANA na hata hao waliomtuma wanapajua hapa. Yeye afanye siasa tu kama ndio zilizomrudisha SIYO FUJO. Kama hapajui vizuri BASI ATAPAJUA! Huo ndio ukweli na siyo vitisho kwani hajui kuwa dawa ya moto ni moto?
Ulishawahi sikia Tanzania Mahakama zinaruhusu kura za nafasi ya Urais kama zimeibwa kesi inapelekwa mahakamani?Mi pia najiuliza kwanini anakomalia kuingia barabarani sio mahakama kuitafuta haki yake! Naanza kupata wasiwasi huyu jamaa kaja kufanya fujo sio uchahuzi