Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Samia kusema kweli Ana utu,japo sio kwamba nampenda ila kwenye hili namsifu, ajira Sasa hivi nje nje tuAsije wakati wa kampeni akasema hakulipwa stahiki zake.
Usiwasingizie wakristo kwa ushetani wa mtu mmoja,tukisema yule jamaa ni alikuwa shetani chawa wake wanakuja juuWaislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Mkuu, usihusishe Dini, mtu akiwa na roho mbaya ni yeye, by the way, the Guy faced his mortal reality ,tusonge mbele tu.Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
atarudi tu usiwe na hofu...Tanzania ni nchi yake na nafikiri Mama Samia ameamua kufungua ukurasa mpya katika nchi yetu. Kwa kweli tulipokuwa tumefika na tulipokuwa tunakwenda ilikuwa ni hatari hatari kwa nchi yetu.Ni jambo jema
Rudi nyumbani sasa tujenge nchi
Where are heading at my Kagoshima? umefanya research au umekurupuka na haya mambo? Be careful do not to utter sweeping statementsWaislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Haya matusi yako yanalishushia hadhi hili jukwaa. Kwa vile wewe unaliwa tigo unafikiri kila mtu choko kama weweKama amelipwa kinachomfanya aendelee kukaa kwa amsterdam ni nini , au ukuni
Acacia hawajatushitaki MIGA sasa
na ndiyo maana karudishwa kwao kongwa, alifeli kusoma upepo...mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?