Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Hiyo argument ni ya KITOTO sana. Rais ni mwajiriwa wa wananchi kwa kura alizoomba na kupigiwa. Hawezi kusema eti hapendi KUPELEKESHWA!!. Kama hupendi kupelekeshwa usigombee uRais.Tundu just admit kwamba unatumika kuharibu watu fulani kwa ajili ya mtu fulani acha kuongea upupu tumechoka bhana .
Wewe ni mnafiki kisa magufuli hakuwa anapenda kupelekeshwa ndio unamdis endelea na maisha yako atleast ulipo unakera
Na wewe hufahamu mateso aliyopitia Lissu, halafu unaandika tu hapa kama Bata anavyoharisha