Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Pongezi kwa Samia.

So, Samia kamlipa stahiki zake zote ila bado hajamkubalia kurudi nyumbani? au alishakubaliwa kurudi nyumbani ila yeye ameamua kubaki Ubelgiji kwa mambo yake binafsi?

Atuweke wazi na kwenye hilo, sababu huwa anatoa ahadi za nitakuja tarehe fulani, halafu tarehe hiyo ikifika haonekani bila kutuambia kwanini hajarudi, ili kama lawama zibaki kwa Samia na serikali yake tujue, au kama lawama ni za Lissu binafsi tujue.

..Msemaji wa Ikulu anaweza kuulizwa kama Raisi amemhakikishia Lissu usalama wake atakaporejea.

..IGP Sirro pia anaweza kuulizwa kama amepokea maagizo toka kwa Raisi kuhakikisha waliojatibu kumuua Lissu hawatapewa nafasi ikiwa atarejea nchini.

Cc Erythrocyte
 
Hapana Sina chuki.
Utawala wa Samia upo sahihi [emoji817].
Ndo maana mmekaa kimya.
Hamna Cha kukosoa tena maana MASLAHI.
PENYE HUDHIA....
Mtalalama sana sukuma gang uvccm.
Mlizoea kuuza majungu kwa mtawala ili mpate mkate wenu wa kila siku.

This time around mama kawachunia hamna tena hiyo nafasi ya kuuza majungu .
 
atarudi tu usiwe na hofu...Tanzania ni nchi yake na nafikiri Mama Samia ameamua kufungua ukurasa mpya katika nchi yetu. Kwa kweli tulipokuwa tumefika na tulipokuwa tunakwenda ilikuwa ni hatari hatari kwa nchi yetu.
Yaah! ile speed ya yule shetani hivi sasa Bwawa la umeme kule Rufiji lingekuwa limeshakamilika.
 
Naona mmeshapata katiba mpya na tume Huru.
Mnazama zenu ikulu mnapiga stori na mshua.
Mmeshasahau
Mtalalama sana sukuma gang uvccm.
Mlizoea kuuza majungu kwa mtawala ili mpate mkate wenu wa kila siku.

This time around mama kawachunia hamna tena hiyo nafasi ya kuuza majungu .
 
Wee mjinga kweli lissu atakupa nn sas katk pesa hzo
Jinfa sana hili,eti linatokwa machozi kisa huyo jamaa kapewa mafao.
Yanakusaidia nini? Mwambie akugawie ndio uta jua kwa nini ukiraina kuna vita
 
Hawa wanaamini kuchinja binadam mwenzako unaenda pepon moja kwa moja?
Au kun wengine?
 
SAGAI GALGANO

Wengi nyie mpo nje ya nchi hamjui hasa yanayoendelea Tanzania mnabaki kufanya ushabiki tu humu mitandaoni ndio maana hata haujui kama wauza unga wamerudi kwenye ramani sasa hivi na waliyokuwa jela wanatoka.
 
Yaah! ile speed ya yule shetani hivi sasa Bwawa la umeme kule Rufiji lingekuwa limeshakamilika.
Dunia sasa inakwenda kwenye kwenye nuclear power plants - wewe unaturudisha kwenye ma umeme wa mi-maji, tech ya miaka ya 60. Vyepesi vina gharama zake.
 
Ugomvi wa magufuli na chadema ulikuwa kwenye MASLAHI.
huwezi tena kuwasikia Sasa hivi Wana matonge mdomoni.
Hawawezi kuongea.
Nyie wengine mpambane na hali ZENU
heheheheee nadhani ata Mr Chairman alishalipwa ile 2b, yupo kimyaaaa
 
Back
Top Bottom