field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni. Haki imetamalaki katika nchi yetu, mengine yatakuja taratibu, tuvute subiri. Mambo mazuri hayahitaji haraka sana. Anachofanya Rais Samia, hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote duniani. Ndiyo kunaweza kukawa na ukakasi kwenye baadhi ya mambo ambayo hayajakaa vizuri lakini yaliyofanyika yamefunguwa njia.I love reconcilliation