Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.

Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.

Pia Tundu Lissu amesema wanachama wa CHADEMA ambao walifungwa ama kuwekwa mahabusu kipindi cha Magufuli wameachiwa kasoro kesi chache ambazo nazo zinashughulikiwa.

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.

Aibu kubwa kwa yule spika aliyefurushwa alidhan atakuwa spika milele ila jamaa alikuwa na roho mbaya sana
 
Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Japo mim mkristo ila kwa hili upo sahihi, marais wakikiristo wameakua katili sana ktk tawala zao,
CC magufuru, mkapa
 
wafuasi wa shetani mkajinyonge
Angalia hayo majina, mara Masalakulangwa, wa ovyo kweli hao wafuasi mashetani wa mwendazake. Wameumia kuona nchi inaongozwa na rais mwanamke. Wamezoea kuua wanawake vikongwe na albino. Sijui ustaarabu utafika lini huko? Sasa kwa taarifa yao, tunampa mama Samia miaka mingine mitano, na akiwa na nguvu na akipiga kazi kweli kama anavyofanya...urais mtausikia kwenye bomba tu, kwani hamuoni Angel Merkel?
 
Dunia sasa inakwenda kwenye kwenye nuclear power plants - wewe unaturudisha kwenye ma umeme wa mi-maji, tech ya miaka ya 60. Vyepesi vina gharama zake.
ndio maana mama ameenda kwenye nuclear power plant na sasa tunaenjoy.
Bora alikufa
 
Hii Ni baada ya kupata kiinua mgongo chake na marupurupu yake mengine anayoidai serikali
Mama hataki kupingwa 2025
Anatumia Njia ya friendship kuwasogeza Karibu wapinzani na kuua upinzani.
Lisu Anaona Aibu Kumsema mama ataanzia Wapi Kwa mfanoo.
Mama anaupiga mwingi..
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.

Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa.

Pia Tundu Lissu amesema wanachama wa CHADEMA ambao walifungwa ama kuwekwa mahabusu kipindi cha Magufuli wameachiwa kasoro kesi chache ambazo nazo zinashughulikiwa.

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo.

Na aliyosema Spika mstaafu kuwa "ameshalipwa..." ulikuwa uwongo?
 
Hii Ni baada ya kupata kiinua mgongo chake na marupurupu yake mengine anayoidai serikali
Mama hataki kupingwa 2025
Anatumia Njia ya friendship kuwasogeza Karibu wapinzani na kuua upinzani.
Lisu Anaona Aibu Kumsema mama ataanzia Wapi Kwa mfanoo.
Mama anaupiga mwingi..
wewe umemjua Lissu leo
 
SAGAI GALGANO

Wengi nyie mpo nje ya nchi hamjui hasa yanayoendelea Tanzania mnabaki kufanya ushabiki tu humu mitandaoni ndio maana hata haujui kama wauza unga wamerudi kwenye ramani sasa hivi na waliyokuwa jela wanatoka.
Sisi furaha yetu ni kubwa kuwa yule ibilisi wa kihutu aliyeko motoni hatarudi tena duniani kuleta ushamba wake
 
Mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni. Haki imetamalaki katika nchi yetu, mengine yatakuja taratibu, tuvute subiri. Mambo mazuri hayahitaji haraka sana. Anachofanya Rais Samia, hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote duniani. Ndiyo kunaweza kukawa na ukakasi kwenye baadhi ya mambo ambayo hayajakaa vizuri lakini yaliyofanyika yamefunguwa njia.
Upo sahihi

Anapambana kuiweka nchi sawa
 
Mmmeanza na mambo yenu ya udini...kwani ni lazima kila kitu kinasibishwe na dini?
Wakristo mna roho mbaya Sana,tofauti na Waislamu,

Angalia lile shetani lenu lilivyokuwa linapanda MORI wakuua watu na kuwafunga jela,

Saiz lipo jehanam huko, Tena litakuwa limewekwa chini kabisa ya Moto,Kuni itakuwa wanachochea kina Azory gwanda na Ben saa tisa
 
Hii Ni baada ya kupata kiinua mgongo chake na marupurupu yake mengine anayoidai serikali
Mama hataki kupingwa 2025
Anatumia Njia ya friendship kuwasogeza Karibu wapinzani na kuua upinzani.
Lisu Anaona Aibu Kumsema mama ataanzia Wapi Kwa mfanoo.
Mama anaupiga mwingi..
Suala si kuua upinzani, suala kuu ni kutenda haki na kufanya nchi yetu iende mbele, hakuna anayeonewa kila mtu anajaliwa na keki ya Taifa inaliwa na watu wote. Hilo la kuua upinzani siyo hoja. Tunataka haki na kama Rais Samia anatenda haki basi anastahili credit.
 
Wakristo mna roho mbaya Sana,tofauti na Waislamu,

Angalia lile shetani lenu lilivyokuwa linapanda MORI wakuua watu na kuwafunga jela,

Saiz lipo jehanam huko, Tena litakuwa limewekwa chini kabisa ya Moto,Kuni itakuwa wanachochea kina Azory gwanda na Ben saa tisa
Ungepunguza Mori kidogo, una uhakika gani kama mimi ni mkristo! na hata kama ningekuwa mkristo, roho mbaya ya mkristo mmoja haifanyi wakristo wote kuwa na roho mbaya! roho mbaya au nzuri ni hulka ya mtu wala sio nguzo ya dini yoyote!
 
Acheni chuki kkkenge nyie
 
Kuna watu Wana roho ngumu sana bwashee

Tundu Lisu alikuwa mbunge huko Singida mashariki lakini zaidi alikuwa ni Mnadhimu mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni

Binafsi nampongeza sana Rais Samia kwa Upendo na utu wema alionao

Mungu ni mwema wakati wote
 
Nilimchukia Meko siku tu Lisu alipopigwa risasi..Ndugai nilimchukia tu siku aliyomfuta Lisu ubunge ilijali anajua yupo kwenye matibabu..Ndugai na Mwendazake walikuwa na roho mbaya sana..Mungu atusaidie tusipate tena viongozi wa namna ile
 
Kuna watu Wana roho ngumu sana bwashee

Tundu Lisu alikuwa mbunge huko Singida mashariki lakini zaidi alikuwa ni Mnadhimu mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni

Binafsi nampongeza sana Rais Samia kwa Upendo na utu wema alionao

Mungu ni mwema wakati wote
Ndugai na Magufuli Sheria waliyotumia mmoja imemwondoa duniani na mwingine imemvua Uspika

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Tundu just admit kwamba unatumika kuharibu watu fulani kwa ajili ya mtu fulani acha kuongea upupu tumechoka bhana .
Wewe ni mnafiki kisa magufuli hakuwa anapenda kupelekeshwa ndio unamdis endelea na maisha yako atleast ulipo unakera
 
Back
Top Bottom