Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Ngoja waanze kumdekea, hawana dogo hao...
 
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa
Ni Mtanzania.Kwa nini asiungwe mkono kama anakataa uonevu na ujinga?Huwa kuna mambo tunakosea kuwaza.Kwani upinzani umetokea wapi?Ni kwa sababu ya kutoridhishwa na mienendo ya kisiasa tu.Kama mambo yanaenda uzuri,nani atakuwa mkinzani?Tafakari.
 
Afadhali umesema ni imitators.

Yule mwingine, kwa hakika hakuwahi kuwana dini, labda mizimu.

Hakuna muumini wa dini yeyote awe mkristo, muislam, budha au hindu ambaye anaweza kuwa muuaji,mtekaji na mpotezaji wa binadamu wenzake.

Ndiyo maana, wengine walisema, "tuna shetani"

Asante kwa kuelewa kuwa sio Uislam dhidi ya dini nyingine. Umesoma vyema mpaka mwisho, Great Thinker.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa

Pia Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali ya Rais Magufuli pia ilikataa kumlipa

Tundu Lissu alikutana na Rais Samia alipotembele nchini Ubelgiji ambapo waliongea mambo kadhaa ikiwemo stahiki hizo

Naona naye analamba asali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi kwa Samia.

So, Samia kamlipa stahiki zake zote ila bado hajamkubalia kurudi nyumbani? au alishakubaliwa kurudi nyumbani ila yeye ameamua kubaki Ubelgiji kwa mambo yake binafsi?

Atuweke wazi na kwenye hilo, sababu huwa anatoa ahadi za nitakuja tarehe fulani, halafu tarehe hiyo ikifika haonekani bila kutuambia kwanini hajarudi, ili kama lawama zibaki kwa Samia na serikali yake tujue, au kama lawama ni za Lissu binafsi tujue.
Huku Hakuna ishu akae kule kule
 
Devoted Muslims have a clear sense and meaning of ''justice'' than the other devoted and pious imitators
hapana mkuu. Kila nafsi ihukumiwe kwa matendo yake. Kwa hili bandiko lako, ina maana waislam wote ni magaidi kama Bin Laden au ISIS wanaokata watu vichwa? Neno devoted unalipimaje?
tafakari kabla ya kuandika.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwamba Samia ndio Kamlipa ? Hii nchi itakuwa ya Kifalme kama vile ambavyo tungekasirika uweze wa JPM kuzuia ndio tukasirike uwezo wa Rais kulipa..., Ifike wakati tuwe na Taasisi zinazofuata sheria inasema / inataka nini sio mtawala anaamua nini
Kwa katiba yetu ni Samia ndo kamlipa na jiwe ndo alizuia malipo,
Strong institution is the way to go , not strong leaders.
 
Back
Top Bottom