Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

hapana mkuu. Kila nafsi ihukumiwe kwa matendo yake. Kwa hili bandiko lako, ina maana waislam wote ni magaidi kama Bin Laden au ISIS wanaokata watu vichwa? Neno devoted unalipimaje?
tafakari kabla ya kuandika.
In order to understand the contest, would you please write in English? Dou you even know the literal meaning of the word ''devout''?
 
KAZI kweli kwa timu ya mapambio ya kwaya ya bi kiroboto
 
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa
Haya mambo ya siasa mpwa huwa hayaaminiki.... usishangae pia ukija kuona ipo kinyume kama usemavyo.

Kinachotusaidia sie raia wengine huku mitaani ni macho ya kuangalia sana kuliko kusikiliza kinachosemwa na wana siasa, maana matendo ndio tabia, na tabia ni kama ngozi; huwezi kuibadili.

Hivyo tusubiri tuone, kisha tutajua
 
Wale wafuasi wa lile zimwi la Chato wanasaga meno kwa hasira,hii mijitu ina roho za kishetani sana
Jaman jaman... taratibuni basi.
Mbona wengine tulikua tunakuambeni kabisa mambo yanaenda kwa kasi sana mkisema ndio inavotakiwa na makofi watu wakipiga kwenye TV tukiwaona.

Leo hii kila mmona anaikana siti yake alotumia kuketi.

Au kuna jambo wananchi hatujui mlituficha?
 
Kwamba Samia ndio Kamlipa ? Hii nchi itakuwa ya Kifalme kama vile ambavyo tungekasirika uweze wa JPM kuzuia ndio tukasirike uwezo wa Rais kulipa..., Ifike wakati tuwe na Taasisi zinazofuata sheria inasema / inataka nini sio mtawala anaamua nini
Kwani huko kulipwa mjomba si pia walishaangalia sheria inasemaje na inatakaje? Au ni maamuzi ya mtu binagsi yamepita?
 
2025 wapinzani wote wa mama watakuwa wanamuunga mkono..2025 anapita bila kupingwa

Hirizi ya Samia kupita kiurahisi 2025 ni kuleta Katiba mpya kutokana na rasimu ya Warioba; atapita kama kishada, ngebe ya wapinzani wake wote ccm itakatwa!! Bila ya hivyo mtihani wake utakuwa mgumu.
 
Back
Top Bottom