Hiyo argument ni ya KITOTO sana. Rais ni mwajiriwa wa wananchi kwa kura alizoomba na kupigiwa. Hawezi kusema eti hapendi KUPELEKESHWA!!. Kama hupendi kupelekeshwa usigombee uRais.Tundu just admit kwamba unatumika kuharibu watu fulani kwa ajili ya mtu fulani acha kuongea upupu tumechoka bhana .
Wewe ni mnafiki kisa magufuli hakuwa anapenda kupelekeshwa ndio unamdis endelea na maisha yako atleast ulipo unakera
Wewe unaandika kama bata aliyetoka kugegedwa au mwenye ngideriHiyo argument ni ya KITOTO sana. Rais ni mwajiriwa wa wananchi kwa kura alizoomba na kupigiwa. Hawezi kusema eti hapendi KUPELEKESHWA!!. Kama hupendi kupelekeshwa usigombee uRais.
Na wewe hufahamu mateso aliyopitia Lissu, halafu unaandika tu hapa kama Bata anavyoharisha
Kwani mzee mecco hakuwa mpambavu?Nacho mpendea magu ni hakuwa mnafiki, akiona upumbavu mahali haijalishi we ninani atakuambia ukweli na atausimamia.
Lisu ni mchumia tumbo tu kama walivyo wengine hana uzalendo na hana alama yoyote zaidi ya kupiga makelele na sifa za hovyo hovyo.
Yeye mwenyewe Magu alikuwa mpumbavu, aliikaidi uwepo wa COVID 19, na COVID-19 ikampa majibu.Nacho mpendea magu ni hakuwa mnafiki, akiona upumbavu mahali haijalishi we ninani atakuambia ukweli na atausimamia.
Lisu ni mchumia tumbo tu kama walivyo wengine hana uzalendo na hana alama yoyote zaidi ya kupiga makelele na sifa za hovyo hovyo.
Yeye mwenyewe Magu alikuwa mpumbavu, aliikaidi uwepo wa COVID 19, na COVID-19 ikampa majibu.
Akatuma WASIOJULIKANA wamshambulie Lissu, lakini Mungu kamnusuru Lissu ile yeye huyo anaoza pale Chato kaburini
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wakeKifo ndio kitu pekee chenye guarantee, hivyo hata wewe hapoulipo ni mzoga unao tembea niswala la muda tu.
Angalau yeye hakuwa muoga kutetea rasilimali za nchiyake kwa sababu ya kuogopa kifo.
Mkuu wanchi alitangaza kwamba alikufa kwa matatizo ya moyo swala la covid n