Ondoa upuuzi wako hapa. Huyo atakuwa rais wa familia yako labda.Aliyesema hivi yeye ndio jambazi la "LBGTQ+" asifikiri huyo mtawala aliyepo madarakan atakuwepo kwenye hicho kiti milele, hii kauli atakuja kuilipia gharama.
Lengai Ole Sabaya ndiye atakuwa rais wa Tanzania muda sio mrefu ujao pamoja na kuwa ni mwanasheria asije akatimkia Ubeligiji tenamaana hydrojeni na oksijeni hutengeneza maji sio moto
Hayo maridhiano ya wezi kwa wezi yatawagharimu pakubwa maana mna chuki, visasi, wivu na ungisi uliopitiliza kimo cha binadamu aliye na akili timamu. Hakika kufa mtakufa tu kama wengine tena kwa aibuOndoa upuuzi wako hapa. Huyo atakuwa rais wa familia yako labda.
Ninyi wakati mkitesa wenzenu enzi hizo hamkujua kwamba kuna kufa?Hayo maridhiano ya wezi kwa wezi yatawagharimu pakubwa maana mna chuki, visasi, wivu na ungisi uliopitiliza kimo cha binadamu aliye na akili timamu. Hakika kufa mtakufa tu kama wengine tena kwa aibu
Wewe unafikiri utafika popote? Meza itapinduliwa katika wakati usioujuaNinyi wakati mkitesa wenzenu enzi hizo hamkujua kwamba kuna kufa?
Shida iko wapi wewe usiyependa watu waridhiane? Ulifurahia sana kuona wenzako wakiumizwa, kwasasa kuna amani unachukia. Wewe ni binadamu mwovu kabisa.Wewe unafikiri utafika popote? Meza itapinduliwa katika wakati usioujua
Maridhiano ni tiba dhidi ya chuki wewe. Kwa arguments zako bila shaka wewe ni sadist.Hayo maridhiano ya wezi kwa wezi yatawagharimu pakubwa maana mna chuki, visasi, wivu na ungisi uliopitiliza kimo cha binadamu aliye na akili timamu. Hakika kufa mtakufa tu kama wengine tena kwa aibu
Wanajuana wale hawezi kuufunga mkono wa kushoto haiwezekani kamwe.Sabaya huyu ni wa kunyongwa hadi afe. Kama amekiri makosa ni kwa kesi zilizokuwa Mahakamani,hatujamaliza, kuna kesi lukuki zinapelekwa Mahakamani soon. Huyu atafia jela tu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
majambaz ambayo ni bashite na sabaya.Sasa mbona yeye akiambiwa alivamiwa na majambazi anakataa?
Amani iko chumbani kwako labda ni heri mtu unayemwona akiwa mkali na mambo yanarekebishwa kuliko anayejifanya mpole, mruhusu kila kitu bila kujua ni pilato aliyekitakasa mikono kwamba anaona mtuhumiwa hana kosa lakini bado anawakabidhi wahuni wamsulubu mtu asiye na hatia ndio wewe unavyofanana.Shida iko wapi wewe usiyependa watu waridhiane? Ulifurahia sana kuona wenzako wakiumizwa, kwasasa kuna amani unachukia. Wewe ni binadamu mwovu kabisa.
Sababu ameteuliwa na Jambazi mkubwa zaidi🤩🤩🤩
Jambazi angekuwaje Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Hivi polisi wanaposema Majambazi yamekamatwa Mwembechai , Mikocheni au Mbagala wanakuwa Mahakama ?Wewe ni mahakama?
Kama alivyokiri Kabendera sio?Na alikiri mbele ya hakimu hayo matendo yake ya kishenzi.
Kwahiyo ndo amemtoa Sabaya jela?Yes, mbona Jiwe alifikia mpaka kuwa Rais wa nchi ili hali ni mwuovu hatari. Ndiyo maana alikuwa anachagua waovu wenzake kama Saambaya na Bashite
Vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Tuliwaona Lisu na fatuma kalume wakiwatetea kwa hoja na ufasahaUnaweza kukwepa mkono wa sheria lakini si mkono Mungu
Kama ni kweli sabaya aliwatende mabaya watu awatafute haraka sana awaombe msamaha.
Heeee 😳😳😳 ngoja walinda legacy waje!!"Lengai Ole Sabaya sio mkosaji wa kisiasa, Sabaya ni jambazi, na amehukumiwa kwa ujambazi.
Angeshtakiwa kwa yote ambayo aliyoyafanya na ambayo tunayafahamu angekaa gerezani maisha yake yote" TunduALissu,
View attachment 2580784
Hivi yule mchumba wake yupo wapi? Aisee, Sabaya ana pisi kali nyie watu. Ni hilo tu nililowahi kumuelewa Sabaya
Nadhani unatakiwa uwahi hospitali. Ukiona mpaka unafikia kufikiria jambazi ambalo haliweza kuwa hata mtendaji wa kijiji lakini wewe unaona linaweza kuwa Rais, ujue usipowahi, itafika wakati hata uwezo wa kuandika tu hautakuwepo. Utakuwa unaonekana zaidi kwenye majalala.Aliyesema hivi yeye ndio jambazi la "LBGTQ+" asifikiri huyo mtawala aliyepo madarakan atakuwepo kwenye hicho kiti milele, hii kauli atakuja kuilipia gharama.
Lengai Ole Sabaya ndiye atakuwa rais wa Tanzania muda sio mrefu ujao pamoja na kuwa ni mwanasheria asije akatimkia Ubeligiji tenamaana hydrojeni na oksijeni hutengeneza maji sio moto