mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Wampelekee tu ameruka viunzi vingi vizito vikiwemo vyakumrest in Peace imeshindikana..Tume inaupendeleo wa wazi mgombea mwingine anatubagua kwa kuongea kilugha ambacho wengi hatuelewi na pia amesikika akibagua wapga kura wasiompigia kura waziwazi kuwa hatapeleka maendeleo huku kodi zao akiztaka kuendesha nchi bila kujali mshikamano wa Taifa hili toka Enzi za Julius Kambarage Nyerere RIP. Tume imekaa kimya na Msajiri amekaa kimya!! Watu wanataka fair play ili nchi hii iwe mfano wa democracy makini!!Atapelekewa Leo asbh hii, kabla hajaanza kampeni zake kwani tarehe 29.09. Si bado au imepita ? .vijana wamelipwa Per diem ya siku 10, na ontrasit na food and refreshment ili kumpelekea hyo surmons mkononi. Kufanya kazi tume raha sana, mgombea yupo arusha unamfuata mwanza