Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Atapelekewa Leo asbh hii, kabla hajaanza kampeni zake kwani tarehe 29.09. Si bado au imepita ? .vijana wamelipwa Per diem ya siku 10, na ontrasit na food and refreshment ili kumpelekea hyo surmons mkononi. Kufanya kazi tume raha sana, mgombea yupo arusha unamfuata mwanza
Wampelekee tu ameruka viunzi vingi vizito vikiwemo vyakumrest in Peace imeshindikana..Tume inaupendeleo wa wazi mgombea mwingine anatubagua kwa kuongea kilugha ambacho wengi hatuelewi na pia amesikika akibagua wapga kura wasiompigia kura waziwazi kuwa hatapeleka maendeleo huku kodi zao akiztaka kuendesha nchi bila kujali mshikamano wa Taifa hili toka Enzi za Julius Kambarage Nyerere RIP. Tume imekaa kimya na Msajiri amekaa kimya!! Watu wanataka fair play ili nchi hii iwe mfano wa democracy makini!!
 
Kwani Lissu ni Membe? Humjui Lissu wewe...
Kwa vile Kikwete aliwahi kusema hivyo ndio unafikiri Lisu ana chochote?

Siku ile mnazindua kampeni mbagala alaiwajaza upepo kwamba andamaneni nchi nzima kushinikiza walioenguliwa kurudishwa. Sikuona hata mbu ikiandamana au sijui hamkumuelewa kwamba kasema anzeni kuandamana?

Baada ya 28 oktoba Lisu ataijua rangi halisi ya wanachadema!

Amuulize Slaa
 
Akipokea wito aende
Hata asipoenda, tunataka afanye kampeni kwanza sio asumbuliwe na huu uchafu unaoitwa nec.

Wangekua huru wangelikua wametoa matamko km 10 hivi kumhusu magufuli na wangekua wamemfikisha kwenye kamati ya maadili zaidi ya mara 5 huyo bwana wao kwa uchafu anaoongea na matendo yake maovu hasa kipindi hiki cha kampeni
 
Lissu anatapatapa barua itamfikia Kama ni mwanaume akatae kwenda aone kama hataondolewa kwenye orodha ya wagombea.
 
Kisheria lazima aende, aache kujifanya mwerevu wa kila jambo!
 
Kwa vile Kikwete aliwahi kusema hivyo ndio unafikiri Lisu ana chochote?

Siku ile mnazindua kampeni mbagala alaiwajaza upepo kwamba andamaneni nchi nzima kushinikiza walioenguliwa kurudishwa...
Kwani kwenye kampeni cha Chadema huoni Maandano?

Hujaonq maandamano kwenye kampeni za Lissu, Mwanza, Geita na Kagera?

Au hujaona maandamano kwenye kampeni za Lissu Songwe, Mbeya na kwingineko?
 
Lissu anatapatapa barua itamfikia Kama ni mwanaume akatae kwenda aone kama hataondolewa kwenye orodha ya wagombea.
Hiyo ni kitu ambayo NEC hawawezi wala kuthubutu.

Mtafukuzana kubanana chooni na msitoshemo
 
Noma sana, kitu baada ya kitu. Weka kigingi niweka jiwe.

Weka ugoko niweke chuma.

Baba Lissu wapeleke wapelekeeeeeeeeee

Peopleeeeeeeeèee's poweeeeeeeeeer
 
Kisheria lazima aende, aache kujifanya mwerevu wa kila jambo!
Acha ujinga sheria gani hiyo...

Wafate taratibu sio kulopoka tu.. Halafu TL Haogopi kwenda hilo linajulikana, wao wajipange tu kuulizwa wao.
 
Kwa vile Kikwete aliwahi kusema hivyo ndio unafikiri Lisu ana chochote?

Siku ile mnazindua kampeni mbagala alaiwajaza upepo kwamba andamaneni nchi nzima kushinikiza walioenguliwa kurudishwa...
Tume jiandaeni kubatizwa na nilisema Jana hum, mtakutana na majibu ambayo hamtakuja yasahau mpaka mnakua vikongwe ,hii ni kutokana na maongenzi ya mkurugenzi
 
Kwani kwenye kampeni cha Chadema huoni Maandano?...
Ni maandamano yale?

Kumbe kweli hamkumulewa Lisu.

Lisu alitaka kuanzia siku ile pale mbagala muanze kuandamana nchi nzima.
Yani Lisu alitaka siku ile mkinukishe nchi nizma kwa maandamano ikiwezekana hata mfumo mzima wa uchaguzi ufumuliwe ndio maana hata sera hakusoma.

Baada ya hapo hakuona hata nzi akipita barabarani.

Uzuri hana kura za kuibiwa. Ndio maana tunasema Lisu ni debe tupu
 
Tume jiandaeni kubatizwa na nilisema Jana hum, mtakutana na majibu ambayo hamtakuja yasahau mpaka mnakua vikongwe ,hii ni kutokana na maongenzi ya mkurugenzi
Lisu ni debe tupu.

Huyo mtu wenu anachangamsha uchaguzi tu
 
Tume iache kufanya kazi kihuni

Mwandikieni Lissu barua rasmi, muweke vifungu vya sheria alivyokosea na ushahidi wa alichokosea ili aje kuvitolea ufafanuzi.

Hii ya kutoa tuhuma za jumlajumla mitandaoni siyo namna ya kuendesha mashauri!

Serikali huendeshwa kwa barua, siyo TV, Magazeti au Mitandao!
 
Mheshimiwa Lissu wamemis semina yako"usikatae nenda ukawapige semina ya uchaguzi kabla ya October 28.ili utengeneze njia kwa tume zjazo "..wanashindwa kutumia njia ya kuomba ila wanahamu na madini yako!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app

Utaratibu hauko hivyo.
Kwanza malalamiko yaletwe kwa batua na yajihiwe kwa barua. Biashara ya kupotezeana muda hakuna.
 
Back
Top Bottom