Wabunge wenye fani mbalimbali wasiojua hata kutamka neno intergovernmental?!Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
hapo je ?Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Wanaccm mmeungana na Chadema kwa sababu BNdari inaenda kwa waarabu lakini yale Nyaayonufaisha ccm hata kama taifa linaangamia mnapingaπ πHuwa nakupinga kwenye mambo mengi ila kwenye hili la bandari tuko upande mmoja. Na limeunganisha Chadema na CCM na wasio na vyama kwa wingi. Tanzania kwanza mengine yatafuata.
Hapo safi. Wakishajadili na kukubalina muda wa mkataba kuisha utakuwa bayana na sote tutajua vema.
mkataba una miezi 8 tayari , Ushahidi huu hapaNilivyo sikiliza maelezo mengi mkataba ni kama hausemi unanza kutekelezwa lini. Ya wezekana serikali hakujiangmdaa tikisi wakiondoka wange endelea vipi na majukumu. Nao ndio hii kukurukakara ya Dp.
Nadhani hawa Jamaa wanataka ili Mambo yawe Safi wao ndio wakalie kitiChadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
mkataba una miezi 8 tayari , Ushahidi huu hapa
ibara ya 25(1) inasema kwamba utaanza baada ya kusainiwa
sasa angalia ulisainiwa lini
View attachment 2653101
Epuka post chonganishi. Tulia tusaidiwe. Bandari ilitushinda.mkataba una miezi 8 tayari , Ushahidi huu hapa
ibara ya 25(1) inasema kwamba utaanza baada ya kusainiwa
sasa angalia ulisainiwa lini
View attachment 2653101
Kasemaje?Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Haifanani kabisa. Acha kulidhalilisha bunge letu tukufu mkuu.Bado tuna haki ya kumlaumu Chifu Mangungo wa Msovero?
View attachment 2653087View attachment 2653088
ushazoea kudanganywa , sisi hapanaEpuka post chonganishi. Tulia tusaidiwe. Bandari ilitushinda.
Haka kazee chakuchoma moto.
Nape huyu huyu aliyetembelea magoti awamu ya 5 ! hebu ngoja tuoneNape kasema atatushughulikia shauri yenu
Amesema mbegu hata iwe ndogo ikiachwa inaleta madhara makubwaaNape huyu huyu aliyetembelea magoti awamu ya 5 ! hebu ngoja tuone
Ambacho hukijui wewe ni kitu kimoja tuu! Hao watu mbali mbali waliopo bungeni unao wasema wewe , huwa wanakuwa wajinga sana tena sana baada tu ya kitu kinaitwa party caucus kushika hatamu, na wanakuwa wajinga haswaa wanaweza hata kupitisha sheria ya watu kutembea uchi wa mnyama .. hicho tu ndicho usicho kijua.Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.
Na itazalisha ajira kibao japo darasa la saba Dr Msukuma alipokwenda huko Dubai aliona kabinti kamoja tu πππbandari inakwenda kuwa ya mitambo tupu hii ni neema kubwa kwa afrika mashariki na kati kwani tunakwenda kuwa kitovu cha biashara sipati picha wazalendo sasa wanaanda akili zao kibiashara fikiri juu ya uwekezaji mkubwa kwani mwarobaini wa upatikanaji wa mzigo na mtawanyiko wa wa bidhaa utakuwa ni wa hali ya juu kuwahi kushuhudiwa duniani