Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hujielewi.Ni vema ukajiita "Kabendera kafuata upepo"!* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?
* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi
* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Dawa inawaingia kunakotakiwa sasa. Lissu shikia hapo hapo.* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?
* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi
* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Jibu hoja zake vinginevyo unajijambia tu* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?
* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi
* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
MchaneWewe ndo mchochezi dhidi ya hoja za kweli kutoka kwa Lissu
Lissu anasema ukweli vinginevyo wente kuweza kumjibu kupitia katiba wajitokeze* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?
* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi
* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
huyo unayesema ni mchochezi, Watanganyika wanamwona ni mtetezi wao. humwezi uyo.* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji wanatembea barabarani?
* Hoja kuwa Rais wetu ameuza mbuga za wanyama kwa kuwa ni Mzanzibari - huu ni uchochezi wa wazi
* Hoja ya kuwa Wamasaai wanaondolewa ktk ardhi yao haina msingi -
Mbona wewe unaonekana ni mwehu??au sijakuelewa??Angekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?
Halafu unamuuliza swali mwehu? Ahahahahaha! Au na wewe mwehu?Mbona wewe unaonekana ni mwehu??au sijakuelewa??
ila tuache uongo Lissu anajua mengi kuhusu hii nchi
Umeandika upupu tu hapaKumbe Wamaasai nao wana bendera ya taifa lao na Rais wao?
Basi sawa.
Umeandika upupu tuAngekuwa anajua mengi asingeliwa anaropoka. Angekuwa anaongea pointi. Mfano, anasema tuna Rais Mzanzibar. Sawa. Yeye anapowaongelea Wmasai, yeye Lissu ni Mmasai?