dah,Ukikaa naye kidogo tu au kumzoea kidogo tu asipokuomba pesa sio Lisu itakuwa photocopy
Ukimpa namba yako jiandae kuombwa hela
yaani watu wanafanya matanuzi ya kifahari na kulipana mamilioni ya posho kwa pesa za chama wewe una mbwelambwela tu gentleman?Hivi hii kazi inakulipa sana ww na koo yako?
Atakuwa asili yake ni eneo la pale Suka Mahela.pale kwenye ombaomba barabarani kibaodah,
aise!
sijawahi kuona mtu wa Singinda anaomba na kupiga vizinga kama huyo muungwana,
ebana anapiga mdomo, huchomoki lazima utaacha tu mkwanja, anaomba mpaka jero π
halafu mbaya zaidi hata jero haachi tapeli yule na mdomo wake, dah !πWewe alikuomba Nini na kukuachia hayo maumivu? π
dah,Atakuwa asili yake ni eneo la pale Suka Mahela.pale kwenye ombaomba barabarani kibao
Sawa. Ufikiri wako umefikia hapo.Umeandika mavi
Vijijini kawaida sana kwenye mito na maziwa unakuta wanaume wanaoga hapa wamama MITA 20 mbele.Japo umejitetea kwenye kuoga,ila Mimi bado nawaza upuuzi kuhusu huyo mzeeπ€π€,kwanini aoge na kijanaπ‘π‘
Owky mkuu, ntajaribu kutembea huko majini nikiwa na kinjunga jeje matataππVijijini kawaida sana kwenye mito na maziwa unakuta wanaume wanaoga hapa wamama MITA 20 mbele.
Njoo hapa nyumba ya Mungu utaona wanaume wanaingia humo, wamama humohumo.
Kwa taarifa tu ni kwamba Nyerere alinunuliwa tiketi ya kwenda UN na mzee Aikaeli Mbowe, baba yake Freeman Mbowe.Nyerere wakati anaenda UN hakuwa na pesa hata pesa za kumudu tiketi ya daraja la uchumi kwenye ndege achilia mbali malazi na chakula huko alikokwenda ila kupitia wanachama alienda.
Umsaidie nini! Kwani yeye ndiye Chadema? Wewe hauna kadi ya Chadema ukunguni wa CCM ndio unakusumbua, chama kama vilivyo vyama vyote yakiwemo makanisa na misikiti huchangiwa wa wanachama na marafiki wake.Kwahiyo tumsaidie nini?
endelea kutumia choo hicho ndotoni kukicha uanike mkeka uliojaa uharo wa kande zako ulizokula janaAache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale πnimekaa naangalia mwisho wake
Leta risiti ya milioni 65 tukuamini, au wewe mkewe alikwambiandio,
aseme kwamba alienda bagamoyo kula maisha na watu wake wa karibu na walitumia milioni 65,
na sasa chama hakina pesa naomba msaada wenu kwa hali na mali ili chama kipate tena pesa za kutusua viongozi.
Ukweli ni kitu cha maana sana kuliko kuficha mambo π
kwani kibaka na tapeli wa siasa alionyesha risiti ya matumizi mabaya alokua akiyasema amayaona chadema πLeta risiti ya milioni 65 tukuamini, au wewe mkewe alikwambia
Ukifurahia chama kuendeshwa kwa pesa za kiongozi utakiwa mpumbavu, makanisa na misikiti yanaendeshwa kwa michango(sadaka) za waumini wake, zikiwemo klabu za Simba na Yanga.Hapo kwenye hela za kuendesha chama nilijua tuu wataanza kusanda mapema sana. Wao wakubali kuingia kwenye uchaguzi wapate ruzuku, wasijilinganishe na Mbowe. Mbowe pesa anazo zake.
Kwahiyo na wewe unapita mulemulekwani kibaka na tapeli wa siasa alionyesha risiti ya matumizi mabaya alokua akiyasema amayaona chadema π
huyu kibaka tapeli wa siasa ndio anapita kwenye upigaji ule ule wa pesa za chama alokua analalamikia na kulaumu wengine, halafu kinafiki anakuja kupiga mayowe hadharini eti ng'we ng'we ng'we chama hakina pesa, alaaaaa!πKwahiyo na wewe unapita mulemule
Kwani aliondoka na vyanzo vya mapato?,si akusanye toka vyanzo hivyo !au aanzishe vyanzo vipya, heboπ !Mwenyekiti wa zamani alikomba zote wakati akiondoka π