Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukikaa naye kidogo tu au kumzoea kidogo tu asipokuomba pesa sio Lisu itakuwa photocopy

Ukimpa namba yako jiandae kuombwa hela
dah,
aise!
sijawahi kuona mtu wa Singinda anaomba na kupiga vizinga kama huyo muungwana,

ebana anapiga mdomo, huchomoki lazima utaacha tu mkwanja, anaomba mpaka jero 🐒
 
Hivi hii kazi inakulipa sana ww na koo yako?
yaani watu wanafanya matanuzi ya kifahari na kulipana mamilioni ya posho kwa pesa za chama wewe una mbwelambwela tu gentleman?

umeshatapeliwa kwanza au bado unajitafakari?🐒
 
dah,
aise!
sijawahi kuona mtu wa Singinda anaomba na kupiga vizinga kama huyo muungwana,

ebana anapiga mdomo, huchomoki lazima utaacha tu mkwanja, anaomba mpaka jero 🐒
Atakuwa asili yake ni eneo la pale Suka Mahela.pale kwenye ombaomba barabarani kibao
 
Japo umejitetea kwenye kuoga,ila Mimi bado nawaza upuuzi kuhusu huyo mzee🤔🤔,kwanini aoge na kijana😡😡
Vijijini kawaida sana kwenye mito na maziwa unakuta wanaume wanaoga hapa wamama MITA 20 mbele.
Njoo hapa nyumba ya Mungu utaona wanaume wanaingia humo, wamama humohumo.
 
Vijijini kawaida sana kwenye mito na maziwa unakuta wanaume wanaoga hapa wamama MITA 20 mbele.
Njoo hapa nyumba ya Mungu utaona wanaume wanaingia humo, wamama humohumo.
Owky mkuu, ntajaribu kutembea huko majini nikiwa na kinjunga jeje matata😐😐
 
Hapo kwenye hela za kuendesha chama nilijua tuu wataanza kusanda mapema sana. Wao wakubali kuingia kwenye uchaguzi wapate ruzuku, wasijilinganishe na Mbowe. Mbowe pesa anazo zake.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nyerere wakati anaenda UN hakuwa na pesa hata pesa za kumudu tiketi ya daraja la uchumi kwenye ndege achilia mbali malazi na chakula huko alikokwenda ila kupitia wanachama alienda.
Kwa taarifa tu ni kwamba Nyerere alinunuliwa tiketi ya kwenda UN na mzee Aikaeli Mbowe, baba yake Freeman Mbowe.
So akina Mbowe wameanza kitambo tu kuvifadhili vyama vya siasa
 
Kwahiyo tumsaidie nini?
Umsaidie nini! Kwani yeye ndiye Chadema? Wewe hauna kadi ya Chadema ukunguni wa CCM ndio unakusumbua, chama kama vilivyo vyama vyote yakiwemo makanisa na misikiti huchangiwa wa wanachama na marafiki wake.
 
Aache kutupigia makelele yake hapa. Naye atafute pesa zake za kuendeshea chama. Si aliona ni rahisi kuendesha chama? Hafahamu kuwa Mwamba alikuwa amejitoa na kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya CHADEMA? Na bado ipo siku atasema chama kimemshinda kukiendesha. Nipo pale 👉nimekaa naangalia mwisho wake
endelea kutumia choo hicho ndotoni kukicha uanike mkeka uliojaa uharo wa kande zako ulizokula jana
 
ndio,
aseme kwamba alienda bagamoyo kula maisha na watu wake wa karibu na walitumia milioni 65,

na sasa chama hakina pesa naomba msaada wenu kwa hali na mali ili chama kipate tena pesa za kutusua viongozi.

Ukweli ni kitu cha maana sana kuliko kuficha mambo 🐒
Leta risiti ya milioni 65 tukuamini, au wewe mkewe alikwambia
 
Hapo kwenye hela za kuendesha chama nilijua tuu wataanza kusanda mapema sana. Wao wakubali kuingia kwenye uchaguzi wapate ruzuku, wasijilinganishe na Mbowe. Mbowe pesa anazo zake.
Ukifurahia chama kuendeshwa kwa pesa za kiongozi utakiwa mpumbavu, makanisa na misikiti yanaendeshwa kwa michango(sadaka) za waumini wake, zikiwemo klabu za Simba na Yanga.
 
Kwahiyo na wewe unapita mulemule
huyu kibaka tapeli wa siasa ndio anapita kwenye upigaji ule ule wa pesa za chama alokua analalamikia na kulaumu wengine, halafu kinafiki anakuja kupiga mayowe hadharini eti ng'we ng'we ng'we chama hakina pesa, alaaaaa!🐒
 
Back
Top Bottom