Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
huyu kibaka tapeli wa siasa ndio anapita kwenye upigaji ule ule wa pesa za chama alokua analalamikia na kulaumu wengine, halafu kinafiki anakuja kupiga mayowe hadharini eti ng'we ng'we ng'we chama hakina pesa, alaaaaa!🐒
Hahaha naona mimba aliyokupa lisu inakutia kichefuchefu
 
Siku ukijifungua tupe mrejesho tukuletee babyshoo, hahahaa
na kama wazalendo wa Taifa hili tutaendelea kuwaelimisha nyote kujiepusha kutapeliwa na vibaka wa kisiasa,

Mkishupaza shingo na mkatapeliwa pesa na mambo mengine basi inakua ni viherehere vyenu tu 🐒
 
TALl hafai kupewa nchi maana ana maneno maneno sana, chuki, hasira, wivu na jaziba za ajabu ajabu
 
Kuna kauli ya Lissu alisema kuna kipindi chama kinaishiwa kabisa pesa na wakati huohuo inatakiwa ifanyike mikutano, walichokiwa wanafanya wanampa majukumu mwenyekiti mbowe atafute Pesa haraka, bila kinyongo Mwamba alikuwa anatafuta pesa na kuleta chaman na kazi ya mikutano inaendelea
 
Ila kiukweli Mwamba alikuwa ana mipango mingi sana ya kutafuta pesa, aliaminika sana wafanyabiashara wenzake kwahiyo mambo yalikuwa mepesi sana kwa chama
 
Ila kiukweli Mwamba alikuwa ana mipango mingi sana ya kutafuta pesa, aliaminika sana wafanyabiashara wenzake kwahiyo mambo yalikuwa mepesi sana kwa chama
Sahihi kabisa na kukopesheka anakopesheka

Lisu hakopesheki akikopa harudishi hata mia

Wenje alimkopesha miaka sasa Lisu hela hajarudisha hata mia

Mbowe alikuwa akienda mahali kukopa chapchap wanampa

Sasa hivi Chadema imejaa viongozi maskini watupu kule kamati kuu ambao hata shughuli zao za kuingiza kipato za mashaka mashaka nani awakopeshe hata wakitaka kukopa? Hawakopesheki kuanzia Lisu Mwenyewe
 
Kwa taarifa tu ni kwamba Nyerere alinunuliwa tiketi ya kwenda UN na mzee Aikaeli Mbowe, baba yake Freeman Mbowe.
So akina Mbowe wameanza kitambo tu kuvifadhili vyama vya siasa
Hizi story zenu za kuokoteza zinashangaza, kwanza sina ubishi kuwa baba yake Freeman alikuwa na ukwasi ila sio yeye aliyechangia pesa kwa kiasi kikubwa kusaidia safari ya Nyerere.

Pesa iliyohitajika ilikuwa elfu kumi na mbili na kamati ya kusimamia zoezi la kukusanya michango ya wanachama iliongozwa na Abdul Kandoro, Japhet Kirilo na Abdu Sykes.

John Rupia ndio alitoa 1/3 katika mchango huo ila bado pesa haikutosha ikabidi pesa ifuatwe kwa siri kwa wanachama wengine wa TANU mkoa wa Tanga waliochangia wengine katika wanachama waliojulikana ni Dossa Aziz.
 
Nakumbuka Wakati TANU inazaliwa pale Mwananyamala A kwa mzee Mwinjuma ilikuwa haina hata cent Moja

Chadema imezaliwa Upya Fedha siyo kikwazo Cha wao kuwa Imara zaidi 😄
Kwahy mahitaji ya miaka ile n sawa na mahitaji ya mwaka huu?
 
Mbowe na genge lake la wahuni itakuwa wamekwapua pesa za chama na kukimbia nazo
 
Lissu read between the lines,wafuate wenye nazo wakusaidie mapema.
Wapo "Elon Musk" wa Kitanzania wakupige tafu.
Bila pesa utachelewa sana.
Anza na Mangi wafanyabiashara wa Kariakoo inabidi uwaombe msamaha wa dhati,na ukemee wafuasi wako kuwadhihaki wale wenye mtizamo tofauti.
Kumbuka mwaka huu unapambana kuimalisha chama matawini/mashinani nchi nzima unahitaji sio chini ya B25 sh za kitanzania.
Bado unahitaji kusimamisha wagombea madiwani karibu kata zote Tanzania bara,kusimamisha wagombea ubunge karibu majimbo yote na pia Mgombea Uraisi,inahitajika pesa nyingi.
Funguka your swimming against the tide.
 
Anao-wahutubia wanaonekana njaa Kali sana🙆🏿‍♂️
 
Mpaka akimbilie Ubeleji!
 
Sasa kungekua na pesa mbowe angetoa 250m kwa ajili ya uchaguzi?
Ushaanza umbea
 
Lissu ana matatizo

Failure zimeanza

Tusisikie anasingiziwa yeyote alie staafu.....

ruzuku inaingia kila mwezi tarehe 30,haya mengine ni ujanja wa kukwepa majukumu kisenge sana
 
Mchaga akuachie hela? Yaani CDM watachukua muda ku recover. Lakini sasa hivi chama kitajengwa kweli.
mkuu hela gani?

cdm haijengi pesa mahali labda kuna biashara inaleta pesa

ni total ruzuku inayoingia kila mwezi tarehe moja

zinatumika zote zinaisha mwezi huo huo wanasubiri zingine

sasa FAM kaondoka na hela zipi wakati ruzuku inatumika yote siku hiyo hiyo inaisha?

mnaongea as if cdm ni serikali ina TRA inayokusanya hela masaa 24 kila saa kuna hela useme FAM kazichukua?

ni ruzuku,no other source ya hela maana cdm haina biashara,na michango ya bakuli wanalopitisha kila siku

hapa naona lissu anatafuta visingizio vya kisenge sana kuhusu pesa,yeye aumize kichwa jinsi ya kutafuta hela za ziada

na mambo ya fedha lissu ana sifuri kabisa hajui definition ya "money"!
 
Natabiri Lissu ataikimbia Chadema soon....Atasingizia matibabu Ubelgiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…