Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

CHADEMA punguzeni papara na haraka zisizo na msingi wakati mnaandaa mikakati yenu mnawapa CCM hoja za kuwaonesha wananchi ninyi hamuitakii mema Tanzania na mnajali maslahi yenu tu na ya nchi jirani.

Unapokwenda kwenye vyombo vya habari vya nje ukasema watu wengi wanakufa kwa COVID-19 nchini kwako unasababisha kudorora kwa uchumi wa nchi yako kupitia sekta ya ANGA na UTALII.

Tumeona ile video jirani wanalialia watalii wote wa EAC sasa wanaenda Tanzania. Jamaa kwa kauli kama zile kwa lugha ile ya watalii (kiingereza)amerudisha juhudi za nchi yake nyuma kwa hatua 100.

Lissu ametumika na adui bila kujijua, ametekeleza na kupenyeza agenda ya adui kuidhuru nchi yake ambayo anaomba kuwa kiongozi mkuu wa hiyo nchi.

Leo Lissu 'katoa boko', mlitakiwa mumuandae mtangazaji wa KTN kwamba mnaomba msimuulize maswali Lissu kuhusu hiki na hiki.

Ni mawazo tu ya mtu mwenye njaa mtaani, kama vipi yapuuzieni muendelee na mtindo wenu huu wa kufanya vitu kwa kujibu mapigo bila kujipanga.

Ndugu Humprey Polepole tumieni vizuri hili boko alilotoa Lissu. Usaliti kwa nchi yako hautakiwi kwa gharama yoyote ile.
Nimesema hapa Lissu hafai kuwa raisi hata kwa mwezi mmoja tu na papara zake na mihemko.

TAFSIRI KWA WAZEE WETU: 'Kutoa boko' ni kufanya kitendo ambacho kina igharimu vibaya timu yako.
 
Kaka KTN ipo DSTV kwa hiyo Watanzania nchi nzima tunafuatilia habari zao.Nyie bakini na TBC na AZAM yenu
Umenikumbusha TV ambazo zinaonyesha picha ambazo sauti zimezimwa kisa anayeongea anagonga kwenye msumari.
 
Hoja za Lissu ni kuhakikisha Wapiga dili wanakwamisha Mipango yetu ambayo mpaka saizi wamekwama.

Mfano Mtu unajikweza kwa Wakenya waliorubuni ndege za EAC ambazo ni za Watz na wana EAC si lazima unatambulika kwamba upapeti wako ni wa namna vipi 😀😀😀😀😀😀
Sishangai sn kwa hii mada yako ikiwa wakuu wazungu wakikemea ni mbebari Ila wakisifia na kutoa misaada ni wahisani.
 
CHADEMA punguzeni papara na haraka zisizo na msingi wakati mnaandaa mikakati yenu mnawapa CCM hoja za kuwaonesha wananchi ninyi hamuitakii mema Tanzania na mnajali maslahi yenu tu na ya nchi jirani.

Unapokwenda kwenye vyombo vya habari vya nje ukasema watu wengi wanakufa kwa COVID-19 nchini kwako unasababisha kudorora kwa uchumi wa nchi yako kupitia sekta ya ANGA na UTALII.

Tumeona ile video jirani wanalialia watalii wote wa EAC sasa wanaenda Tanzania. Jamaa kwa kauli kama zile kwa lugha ile ya watalii (kiingereza)amerudisha juhudi za nchi yake nyuma kwa hatua 100.

Lissu ametumika na adui bila kujijua, ametekeleza na kupenyeza agenda ya adui kuidhuru nchi yake ambayo anaomba kuwa kiongozi mkuu wa hiyo nchi.

Leo Lissu 'katoa boko', mlitakiwa mumuandae mtangazi wa KTN kwamba mnaomba msawali kuhusu hiki na hiki msimuulize Lissu.

Ni mawazo tu ya mtu mwenye njaa mtaani, kama vipi yapuuzieni muendelee na mtindo wenu huu wa kufanya vitu kwa kujibu mapigo bila kujipanga.

Ndugu Humprey Polepole tumieni vizuri hili boko alilotoa Lissu. Usaliti kwa nchi yako hautakiwi kwa gharama yoyote ile.
Nimesema hapa Lissu hafai kuwa raisi hata kwa mwezi mmoja tu na papara zake na mihemko.

TAFSIRI KWA WAZEE WETU: 'Kutoa boko' ni kufanya kitendo ambacho kina igharimu vibaya timu yako.
Kaka punguza Hasira uandike tena . Hujaeleweka kabisa,. Swali rahisi Kwani Lisu kaongea nini ambacho sio kweli?
 
Kuna kweli zingine za kifamilia hazipaswi kuzunguzwa hadharani tena kwa majirani, ndiyo maana kuna vikao vya familia au kuna kesi zinaendeshwa ndani siyo za wazi kule mahakamani. Yeye mwnasheria anajuwa hili lipo hata mahakamani.

Ni suala la hekima na busara tu.
Jamaa kakosea apunguze mihemko.
 
Wanaogopa kutekwa au kufungiwa biashara zao. Ubaguzi sio mzuri hata kidogo. Watu wanaogopa kumbuka kilichomkuta Manji, mpaka akaamua kufunga biashara zake.
Manji alikuwa mwizi halafu anadharau,alikipata chake
 
Kaka KTN ipo DSTV kwa hiyo Watanzania nchi nzima tunafuatilia habari zao.Nyie bakini na TBC na AZAM yenu
Nashauri chadema kwenye kampeni walipie ili watumie media za nje, hizi za hapa Ni utopolo tu.
 
Back
Top Bottom