Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

Hatutaki raisi mwenye Mawazo ya kimasikini/kijamaa au kicommunist, Kama huyu tuliye naye.
Tunataka raisi ambaye akiambiwa kwa mfano.CEO wa bandari au ATCL au Nhc analipwa 50mil. Iwe kitu Cha kawaida kwake ikiwa atapewa target ya kuingizifa faida ya tril kadhaa kwa meezi
 
Meko anatakiwa apelekwe putaaa, na mwenye uwezo wa kumpeleka putaaa ni lissu pekee! Mamaaaeeee meko asubiriii mziki mnene!
Mkuu kuna mahitaji ya watu na mahitaji ya chama

Jiulize je kama chama hakija mpa ridhaa ya kugombea itakuwaje
 
Mkuu Mahanju, ungalikuwa ktk uwanja wa soka basi kwa hoja hii umebeba nafasi ya washambuliaji wa kariba ya Ronaldo ama Messi, kwa kuwa umeweza kuingia ktk eneo hatari la mabeki wa upinzani na hata kuweza kufunga goli murua ama kusababisha penati.
 
Nilitaka kusema ulichokisema, ila wewe umekiweka vizuri zaidi.

Wapinzani nchi hii waelewe kuwa sisi huku nje tunajua mbivu na mbichi. Hatutawakataa CCM eti kwa vile wamekaa madarakani muda mrefu au eti tunataka mabadiliko. Taifa lina Developmental Visions zake, Strategic Plans zake na Strategic Programmes zake. Usipokuja na mawazo mbadala ya utekelezaji wa hayo na badala yake unapinga bila shaka tutakupinga wewe sisi kama wananchi na wapiga kura.
 
Pia vyombo vya dola vitumike kwa usawa, kula chama kipewe nafasi ya Kuuza Sera zake kwa usawa.
 
MAKATO MAKUBWA BODI YA MIKOPO INATUFANYA TUWE NA MAISHA MAGUMU
 
Naona mnampampisha ROPOROPO wenu naye alivyo juha atadhani haya ndio matakwa ya Watanzania wote!

Ilihali ajenda nyingi tajwa zinagusa makundi machache na ambao si wapiga kura wakubwa.
Ndo mipango wenyewe UNAJUA MKAPA ALIFUTAJE KODI YA KICHWA kaulize karatu ilikuwa hivi hivi
 
Mna mvimbisha kichwa naye anajiona anakubalika nchi nzima....uchaghuzi wa mwaka huu ni rahisi mno maana Magufuli ataisoma ilani ya CCM ya 2015-2020 na utejelezaji wake unefanyika kwa kiasi gani kwa wananchi na ana anza kunadi ilani ya 2020-2025 atakavyo itekeleza kama atapewa tena ridhaa ya kuiongoza Tanzania kwa kipindi kingine cha miaka 5... biashara inaisha mapema na anasubiria kuapishwa
 
Mkitaka kuchukua dola Jomba muulizeni kwanza Said Kubenea aliyewakimbia hivi majuzi kwenda ACT, JE ni kwa nini amewakimbia dakika za lala salama....na awape tathmini je mkipewa dola mtaweza au itawatokea puani? ??
 

Bila kupinga maelezo yako ya mazuri, suala la ww kuibiwa kura halipo maana dunia itaona, na itasimama na ww. Je haya maneno yako yana ukweli kiasi gani ukirejea kilichotokea uchaguzi wa Zanzibar? Chaguzi zote za marudio toka awamu hii iingie madarakani, na uchaguzi wa SM? Je unadhani mkuu haya mambo hatuyaoni yakifanyika. Kama kweli Magufuli ni mzuri wa kiwango ulichosema pale juu? Imekuwaje chama chake kifanye uchaguzi wa rushwa za wazi bila mtu yoyote wa chama chake kufikishwa mahakamani. Au hao wananchi wanaopiga kura hawajali viongozi watoa rushwa?
 

Kama ilani ndio inaibeba ccm, kwanini uchaguzi wa SM ulinajisiwa? Hiyo ilani ya ccm atakayoihubiri Magufuli itataja na mapambano ya rushwa, ambayo wagombea wa chama chake wameonyesha wazi kuwa bila rushwa huwezi kuwa kiongozi?
 
Hii dunia yaani wafuasi wapo wa Kila aina, hata ukianzisha chama Cha majuha utampata wafuasi tu!
Urais sio wa kufanyiwa majaribio! Tz kwa Sasa tunawatendaji ndio wanatuongoza kwa vitendo zaidi! Cheap politics Kama hizo zifanyeni tu Ila mwaka huu kuangukia pia hata tukiufanya uchaguzi wa kuhesabia kula kwa wagombea kuhesabia kura wenyewe mtashangaa mpaka wake zenu watampigia Magufuli, mkose nafasi na ndoa pia! Ushindi wa Mwaka huu kwa Magu ni zaidi ya 90%. Tuombe uzima tu!
 
Ongezea

Kuteka watu

Kuuwa wanasiasa

Kujenga chuki

Bodi ya mikopo

Maslahi watumishi

Kuminya Uhuru

Ubaguzi wa kiitikadi

Vitisho kwa wakosoaji
 
Magu Nate alifanya majaribio tena amekiri mwenyeweGERI LISU YUKO SEROUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…