Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia


Kwani wakiingia wapinzani watagawa sururu na nyundo ili wananchi waharibu miundombinu? Wataingia wengine nao wataleta maendeleo bila kuleta unyanyasaji kwa wenye mitazamo tofauti.
 
Niliwaambia mchague ninae mtaka sasa mnataka Maendeleo wakati mlichagua wapinzani... mwambie Bwege awape Maendeleo
 
Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
Duh, aliyesomea chemistry, Physics, Mathematics, Biology, Economics, anafundisha msingi? Huu upuuzi mkubwa alafu wizara inaongozwa na profesa (atakuwa profesa kama Lipumba)
 
Uamuzi wa kuwa tunamtaka Lisu sio wa kubahatisha, hao wanaopitisha mgombea wakimpitisha mgombea mwingine watakula jeuri yao.
Hapa nimekwelewa mkuu

ila najua hili swali kuna watu watajibu kwa kupaniki tusubir watakao bahatika kuliona
 

7. Kurudisha utawala wa sheria na kidemokrasia na unaoheshimu katiba. Mfano, aseme kuwa ktk uongozi wake ataanzisha mfumo wa upigaji kura kwa KURA YA WAZI kwa watu (wapiga kura) kusimama nyuma ya mgombea wanayemtaka awe mwenyekiti wao wa mtaa/kitongoji/kijiji ama Diwani ama Mbunge na ama Rais wa nchi...

8. Kurejesha mchakato wa katiba mpya kwa kuanzia na Rasimu ya Jaji Warioba na kuendelea kuanzia hapo...

9. Kuimarisha Uhuru wa utendaji wa mihimili mitatu ya dola (Executive, Parliament/Legislature na Judiciary) kwa kuhakikisha kuwa kuna STANDARDS & CHECKS and BALANCE kwelikweli.

Sambamba na hili aseme kuwa, mawaziri hawatatokana na wabunge, wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura kama wapigiwavyo wabunge ama Rais badala ya kuteuliwa na mtu....
 
1.SEKTA BINAFSI IKO HOI BINI TAABANI NA HASWE KWENYE KAZI ZA UJENZI.
KILA KITU NI SUMA, TBA, NHC NA WAMEPROVE FAILURE Kiufupi sekta binafsi ime- stack

2. TUNATAKA FREE MARKET ECONOMY SIO HUU WA SERIKALI KUFANYA BIASHARA NA KU- DESTABILIZE WASHINDANE WAKE mfano upande wa usafiri wa anga; fast jet, community airlines etc
 
Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
hizo ni hoja binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…