Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

Lissu sio presidential material kabisa ,dishi limeyumba lile.abaki kuwa mwanaharakati tu
 
Nakuunga mkono. Nashangaa kwanini Magufuri hakuliona Hilo. Magufuri angejenga urafiki na Lissu na sio uadui.
Wana ka mfanano mfulani ka ubishi sema jiwe alizidi roho mbaya ya kisasi na kukomoana.
 

Mwenye hiyo karama ni huyu?

 
Ama kweli uhuru ukizidi ni shida, yani wewe kweli una ujasiri wa kukosoa mtu wakati hata kuandika tu hujui. Very pitiable.
 
Mbna unaweweseka hv????
 
Kwa kigezo hicho hicho Tz ilipofikia inahitaji Lissu kuliko yule shetani aliyerudi kuzimu march 17
 
Tundu Lissu inabidi ajitathmini sana .sioni credibility yake ya kuwa makamu mwenyekiti .Afadhali aachie ngazi wakina Heche waendeshe chama.Na sijui kama analipwa mshahara.Huwezi kuongoza chama kwa temote control.
 

..Zitto kwa lugha aliyotumia, na body language ameomba MSAMAHA.

..Hakuweka msisitizo kwamba mashtaka dhidi ya Mbowe ni ya kisiasa.

..Ndio maana Raisi ktk majibu yake alizungumzia MSAMAHA.
 
Ucwe kubwa jinga ww,tupe tofauti kat ya nchi na wananchi????
 
Tatizo ukweli cku zte unauma
 
Kuandika kwenyewe hujui! Akili ya mchongo, uandishi wa mchongo! Nenda kwanza shuleni ndio uje kutoa mawazo hapa.
 
Tundu lisu na magufuli wanafanana kitabia kabisa sema mmoja alikuwa Rais na huyo upinzani, Tundu lisu huwa hana break ya mdomo wala busara, anahitaji mtu juu yake wa kumpa amri, hivi hivi lazima aharibu, pia ni mubishi flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…