Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

 
siku hizi hapo Lumumba hampewi chai akili itulie uandike vizuri?
 
Sawa, lile jiwe liloagiza mazishi ya Lisu ndo lenye hekima na hizo karama za uongozi!
 
Tundu lisu na magufuli wanafanana kitabia kabisa sema mmoja alikuwa Rais na huyo upinzani, Tundu lisu huwa hana break ya mdomo wala busara, anahitaji mtu juu yake wa kumpa amri, hivi hivi lazima aharibu, pia ni mubishi flani hivi
Pigia mstari hapo,, Lisu na jpm ni wanafanana kwa kila kitu.. [emoji3][emoji3]
 
punguza jazba, kunywa maji mengi alafu nenda kapumzike kwenye kivuli kwa masaa mawili alafu meza P2.
 
mbwa hawa wanabambika watu kesi halafu wanataka hekima. Wewe mbona hukutumia hekima wakati unabambikiza kesi
Shida yenu kubwa mko too emotional... Mfano hapa unasema kabambikwa kesi lakini ushahidi wa hilo huna,, yaani uko too emotional..
Hallmark zinaonyesha kulikua na jambo,, makomandoo wote hao wa kazi gani,, mmoja au wawili wanatosha kuprovide ulinzi kwako,, sasa comandoo zaidi ya wanne, wa nini wote hao?
Mi kwa maoni yangu, Luten Denis Urio ndo alisanua ishu,, japo siamini kweli mbowe alitaka kulipua shell za mafuta, lakini lisemwalo siwezi kuwa na hakika 90%,
Tusubiri zamu ya urio kutoa ushahidi ndo tutaanza kuona mwanga wa hii kesi
 
Kama magu aliweza kutawala nchi hii basi lisu ni kiongozi mzuri sn
Ni mzuri tu iwapo atajua ku control hisia zake,, la sivyo watu wataumia sana,,
Lisu hakutakiwa kureact kama alivyoreact towards zito,, TOO EMOTIONAL.. [emoji847][emoji847]
 
Mwenye mwandiko kama huu ataguanduaje yupi ni mwenye hekima?
 
Hakuna anaemchukia Lisu,, ila ana mapungufu hayo kiasi,, hamna mtu anamchukia hata SSH anampenda Lisu, ndo maana alikwenda kumuona Nairobi hospital..
Kikubwa afanye kucontrol hisia zake tu
 
Nakuunga mkono. Nashangaa kwanini Magufuri hakuliona Hilo. Magufuri angejenga urafiki na Lissu na sio uadui.
Jpm alikuwa anawakubali sana kina Lisu henche, Nasari, etc,, hasa point zao bungeni,
Walichobugi kina lisu na wengine ni kuanza kumdis,,
Hapa duniani, lazima ujue kuishi na watu hutakiwi kuwa too extreme,,
 
..Zitto kwa lugha aliyotumia, na body language ameomba MSAMAHA.

..Hakuweka msisitizo kwamba mashtaka dhidi ya Mbowe ni ya kisiasa.

..Ndio maana Raisi ktk majibu yake alizungumzia MSAMAHA.


Kama body language ingalikuwa ndio kipimo cha kupima hatia ya mtu basi watu wengi wangeshikwa na hatia na wengine wangeponyoka hatia.

Juu ya yote kila mtu anayo body language yake kulingana na tukio na mazingira sasa msitake body language ya Lissu au Lema nk, ifanane na ya Zitto kitu ambacho hakitawezekana.

Lazima tukubali Mbowe akiachiwa ni juhudi za watu wengi akiwemo na Zitto in particular ingawa baadhi ya wana Chadema hawapendi kusikia jambo hilo.
 

..kuna wanaoamini Mbowe ametenda hivyo wanamuombea msamaha.

..kuna ambao wanaamini Mbowe amebambikiwa hivyo wanadai aachiwe bila masharti.

..kuna mvutano kati ya makundi hayo mawili, na yako maoni kwamba hotuba ya Zitto imewakilisha kundi hilo la kwanza.
 
vilaza bwana.
 
Acha ujinga Mwendazake alishakufa kaomboleze Chato
 
Jpm alikuwa anawakubali sana kina Lisu henche, Nasari, etc,, hasa point zao bungeni,
Walichobugi kina lisu na wengine ni kuanza kumdis,,
Hapa duniani, lazima ujue kuishi na watu hutakiwi kuwa too extreme,,
Hii too extreme ndio huhaharibia wengi mambo, kila jambo linahitaji kiasi, pia good calculations, sio kila jambo uwe too aggressive na sio kila jambo uwe kikondoo kondoo tu hapana
 
..Lissu anasoma na kufanya utafiti kuliko wanasiasa wengi hapa Tanzania.

..sasa anapokutana nao ktk mijadala anawazidi kwa HOJA na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

..wanasiasa wengi hupenda kurudia uongo wa siku zote, wakati Lissu hufichua mambo ambayo Watanzania tumekuwa tukifichwa kwa muda mrefu.
 
Nakubaliana mambo mawili kuhusu Tundu Lissu; (1) Ni mbobezi wa Sheria za raslimali za madini ambaye hana mshindani Tanzania. (2) Alipigwa risasi na kikundi cha WASIOJULIKANA kilichokuwa chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli. Na nalaani kittendo hicho kwa nguvu zote.

LAKINI
Tundu Lissu hana busara na haiba ya kuweza kuwa Rais wa Tanzania, hata kama aliibiwa kura na Mwendazake mwaka jana.

Tundu Lissu ni dikteta sawa na Magufuli au kumshinda
 


Hotuba ya Zitto inawakilisha kundi la pili na ndio maana Zitto amesema katika hotuba yake maneno haya:- "-----tunakuomba sana sana kwa mujibu wa sheria na kufuata taratibu zote za kisheria tusaidie mwenzetu tuwe naye----".

Sasa ni wapi hapo Zitto kamuombea msamaha Mbowe??!!--- na atamuombeaje msamaha kwani tayari kakutwa na hatia??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…