Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

Umesema ukweli tupu!
 
Umesema kweli tupu Mkuu!
 
Tundu lisu na magufuli wanafanana kitabia kabisa sema mmoja alikuwa Rais na huyo upinzani, Tundu lisu huwa hana break ya mdomo wala busara, anahitaji mtu juu yake wa kumpa amri, hivi hivi lazima aharibu, pia ni mubishi flani hivi
Acha kumfananisha Lissu na viumbe wa ajabu kupata kutokea katika nchi hii.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kulinganisha Lissu na muuaji, mtesaji, na mtu mbishi asiye tumia akili?
Unajua wangapi wanalia hadi leo kutokana na mtu huyo kuingia madarakani?
 
NOT EVERYONE IS FOR SALE...

Never trade respect for attention....
 
Hakuna anaemchukia Lisu,, ila ana mapungufu hayo kiasi,, hamna mtu anamchukia hata SSH anampenda Lisu, ndo maana alikwenda kumuona Nairobi hospital..
Kikubwa afanye kucontrol hisia zake tu
Unajua ndugu kila ana approach yake kwenye jambo flan ww kutongoza mpaka uanze kuimbisha unaenda kariakoo kutokea magomen unazungukia Mandela road wakat unapita jangwan unafika chaap! Sasa lisu hanaga kuremba ujumbe!!
 

..hajatamka " tunaomba umsamehe. "

..lakini lugha aliyotumia, body language yake, inatafsiri ya kuomba msamaha.

..Na ndio maana Ssh alipojibu alizungumzia MSAMAHA.

..Kuna upande unaoamini ktk msamaha, na kuna upande unaoamini ktk kufuatilia mbali mashtaka ya uongo. Kila upande una hoja zake.
 
lakini lugha aliyotumia, body language yake, inatafsiri ya kuomba msamaha


Lugha inayo "BODY LANGUAGE" !!?, by the way what is a body language??!.

Ni hatari sana kuchukua body language ya mtu na kuifanya verbal language kwani kila mtu anayotafsiri yake ya "body language" ya mtu, ie my translation of ones body language is different from yours na ndio maana katika law courts hakimu hawezi kumuhukumu mtu kutokana na body language isipokuwa tu kwa kauli atakayoitamka.

Ni makosa kutumia body language kufikia judgements na uache verbal language pembeni.
 
Bado embu eleza vizuri, haambiliki na hatumii busara kivip
Mfano hii issue ya mbowe inahitaji busara na compromising bana, Sasa mwenzao yuko jela huku Wana mu pamp chief hangaya na kauli za ukali unategemea nini?
Au wamesahau mamlaka za Rais wa nchi hii kuwa ni ka mfalme, Tundu lisu amefutiwa micase ya kiovu vipi ingekuwa jiwe?
 
Wewe ni mwehu kma meko
 

..lets agree to disagree.

..wewe unaona Zitto hajamuombea Mbowe msamaha.

..mimi naamini Zitto amemuombe Mbowe msamaha.

..jambo la msingi Mbowe atoke.
 

..nadhani wengi wanakerwa na ile hali ya kuzidiwa maarifa na Tundu Lissu.

..vilevile hawapendi tabia ya Lissu ya kutokukubali kupigia magoti watawala.

..ndio maana serikali ikakataa kumtiba Kenya na Ubelgiji.

..na ndio sababu Igp amenukuliwa akisema Lissu ni mkorofi / ana kiburi.
 
..lets agree to disagree.

..wewe unaona Zitto hajamuombea Mbowe msamaha.

..mimi naamini Zitto amemuombe Mbowe msamaha.

..jambo la msingi Mbowe atoke.


Ndugu yangu ni hivi; mtu anaombewa msamaha baada ya kupatikana na kosa, Mbowe bado ni mtuhumiwa na hukumu ya kujua kama anayo au hana makosa haijatoka sasa aombewe msamaha wa kitu gani??--- kwa sasahivi anaombewa kesi ifutwe au kama alivyotamka Zitto kumuomba Rais Samia; "tuachie mwenzetu tuwe naye", na ataachiwa tu kwa mashitaka kufutwa, hivyo neno "msamaha" ni neno mlilojipandikizia wenyewe katika hotuba ya Zitto ili tu kumchafua Zitto kwasababu juhudi iliyoifanya ilipaswa ifanywe na Chadema kwa aibu mmeamua kumchafua huku mkimwita Kibaraka na msaliti !!, mara ooo nani kamtuma!!?, mara ooo anajipendekeza nk, mnashindwa kumshukuru kwa hiyo jitihada??!!--- kweli shukrani ya Punda ----.🤣 na ubinafsi umewashika, sasa vipi mkipewa nchi kama hali za roho zenu ndio hivyo?!!
 
Kjana jengo hoja kwa fact siyo kukurupuka kama kiroboto anaye rukaruka ...
Tundu lissu ni great thinker
 
Lema amepost Tweet ya Mbowe kule Instagram, Mbowe amesema hayuko tayari kuomba msamaha wala kumpigia magoti yeyote hata ikiwa ni kwa gharama ya kukaa gerezani miaka 20. Tena amesema kuomba msamaha is over his dead body...
 
Hizo haki na maonezi mnayodhani mbowe kaonewa yatakuwa na maana mkiyajadili wakati ambao mbowe yupo nje
Sasa ikiwa mwenyewe hataki ku give in kwa kosa ambalo hakulifanya wewe ni nani hasa wa kumshurutisha? Wewe unakujua Roma kuliko waroma wenyewe?
 
Wewe tutakuamini vipi kama hata ulifika shule kwa bandiko la namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…