Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

Kuna shida hapa, tuache kudanganya hadhira. Kukengeuka kwa Samia kulitokana na Lissu. Maana makubaliano yalikuwa Samia aachiwe Urais na akina Mbowe waachiwe Majimbo. Lissu alipopata hizo habari, akaja juu kuwa naye anataka kugombea urais. Hapo ndipo maridhiano yalipoishia.
 
Sasa ulitaka nani akubaliane na upuuzi kama huu? Yaani chama cha siasa kikubali kushiriki uchaguzi kwenye nafasi za ubunge na udiwani tu? Bora Lisu alivyoamua kuvuruga
 
LISU UNAROPOKA........ LISU UNAROPOKA......LISU UNAROPOKA.
Nilishasema Lissu hana washauri na akienda kwenye media anaropoka tu Kama Siasa ameanza juzi.

Story Kama hizi angewaachia kina Abdul Nondo tu
 
Lisu anafaa sn
 
Safu nzima ya Uongozi wa Chadema inabidi iachie ngazi wameshapoteza credibility kuanzia 2015

kuanzia Lisu Mbowe na wote walioshiriki kumkaribisha Lowasa 2015, huku akiwa kwenye list of shame ya chadema
Na viongozi hao hao walituaminisha ni fisadi ghafla akawa mgombea uraisi
DR. Slaa ndo pekee alisimamia alichokiamini
Baada mpango wao kufeli 2015
Walikuwa na option mbili kujiuzulu ili kulinda credibility ya chama au kubaki na kukiua chama

Bahati mbaya wakachagua kukiua chama na kimeendelee kufa taratibu mpaka Leo mkiti anajikuta kwenye maandamano mwenyewe

Nilishasema Lissu hana washauri na akienda kwenye media anaropoka tu Kama Siasa ameanza juzi.

Story Kama hizi angewaachia kina Abdul Nondo tu
nimemshangaa sana tena sana. hata ile issue ya kesi yake asingeliisema muda huu kwa kadamnasi. That was supposed to be a secret, a top secret! All in all he is my choice of a better politician..... and chadema as a whole! Erythrocyte
 
Kweli kabisa, washapoteza credibility yao kabisa. Tangu kwa Lowassa.
Lowasa aliwashauri vizuri.

Waache uwanaharakati.

Hao ni wanaharakati hakuna chama cha siasa hapo.
 
Ukiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba Freeman Mbowe ni mtu ambaye Hana misimamo thabiti inayoeleweka. Hii no hatari Sana kwa mtu kama yeye ambaye mwenye mamlaka ya kuwaongoza watu kwenye jamii. Ni LAZIMA Sana kwa mtu kiongozi kuwa na misimamo inayoeleweka na/au misimamo isiyoyumba. Ila Mbowe amekuwa kama kinyonga, 'ran
 
nimemshangaa sana tena sana. hata ile issue ya kesi yake asingeliisema muda huu kwa kadamnasi. That was supposed to be a secret, a top secret! All in all he is my choice of a better politician..... and chadema as a whole! Erythrocyte
Ila ana utoto ni kama akipewa kipaza sauti anakuwa na wenge mpaka anajiingiza kwenye kundi la wasema hovyo.

Ajaribu kuongea na kufikiri Kama kiongozi basi.

Lissu ananitia wasiwasi sana
 
Ila ana utoto ni kama akipewa kipaza sauti anakuwa na wenge mpaka anajiingiza kwenye kundi la wasema hovyo.

Ajaribu kuongea na kufikiri Kama kiongozi basi.

Lissu ananitia wasiwasi sana
yuko vizuri kichwani, lakini ni kama ana overdo some issues. Kesi yake asingelisema mbele za watu. Ile ni siri kubwa, amewapa tigo na serikali muda wa kujiandaa kukabiri. NILIMSHANGAA SANA TENA SANA
 
Walioua upinzani ni wao wenyewe, kupinga kila kitu. JPM effect itaendelea kuwatafuna hadi wakiri hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…