Ha ha ha!Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Walimuita kistaarabu wakajua ni muungwana mwenye hashima zake ataitika akipata wasaa... Bahati mbaya kabla kuitika akaona maisha yako hatarini akakimbilia ubalozin akatiimua
Kwa maoni yangu, Tundu Lissu anahitaji ushauri nasaha. Binadamu ukipitia maswahibu na mapito kama aliyopitia, unaathirika ki fizikia, ki emosheni na kisaikolojia, (physical, emotional and psychological), hivyo anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kutoka kwenye jinamizi hili na kuendelea na maisha.
Huku kutaja taja majina ya watu, na kutangazia ulimwengu kuwa vyombo vyetu tukuka vya ulinzi na usalama kuwa ndio walio husika, shambulio lake, bila ushahidi wowote, ni kuzidi kuibagaza tuu nchi yetu!.
Ametaja Kikosi kazi kinachojumuisha Polisi, JWTZ na TISS,, hawa ni askari wetu, trained, how could they do such a messy dirty job?. Kwa trained snipers, only one single shot would have finished the job!. Hili hata Mama Samia amewahi kuizungumzia, askari wetu trained wakimiss target by two shots, wanaandika maelezo kujieleza!.
Mimi kwa upande wangu naendelea kusisitiza Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Pia Lissu niliisha mshauri na namshauri tena, ajifunze kunyamaza.
Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Wanabodi. Kama kawaida yangu, leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Mada ya leo ni swali la kitu kinachoitwa "morality": "Jee ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia?. Na tukija kwenye medani za siasa, kabla ya kuusema ukweli wowote tunaousikia, je ni lazima tuseme...www.jamiiforums.com
Kitendo cha Rais Samia kukubali kukutana na Lissu ni uthibitisho tosha wa kauli na matendo she is healing this nation.
kwenye bandiko hilo nilisemaAsante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...www.jamiiforums.com
P
We nawe huna suluhu zaidi ya kifo unatofautigani na wasio julikana? Afe ... utakufa ndio ujinga gani!Kama anayoyasema lisu ni ya uongo basi afe na kama wewe unamdhihaki tu kwa hila basi utakufa soon .
Nakubaliana kwa kiasi fulani na hoja hii.Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
KeshaelewekaKuna watu hamjaelewa hitaji lake. Kwani waliotaka kumuua mchana kuepo walishindwa nini kumkamata na kumpeleka mahakamani instead wakaamua watekeleze Unyama ule?..kwanini hawajakamatwa mpaka leo,kwanin Pamoja na haya yote bado hawakuona huruma Spika akamua kunyongelea mbali ubunge wake na stahkki zake? Kuna watu wenye mbongo ndogo hawataki kufikiri hata kidgo. Wanadhani watu ni wajinga!
Mtu amejitolea uhai wake kuwalindeni ninyi na maslahi yenu, tena kwauaminifu wote, leo mnamtuhumu, hivi mnachokifanya mnakifahamu?Sijawahi amini kama jamaa alikuwa mchungaji kweli. Siamini na sintaamini. Bila shaka alikuwa akichunga kundi la tiss
Bila shaka na yeye ndiye mshirika waoKeshaeleweka
Tatizo Hana jipya…. Ni hoja hiyohiyo tuuuuu
Hata akiulizwa swali la uzazi wa mpango, ataingiza joja za kipilimba, posho zake, usalama wake na kudhani mama Samia hataki kuachana na na ya magu
Na kuhusu idadi ya 400 people waliokufa, nadhani kuna changamoto pale - hivi wale jamaa waliokimbilia Delgado bila mkono wa chuma tungewezA kuwakimbuza?
Si bosi wenu lissu ameshawataja au nayeye hamna uhakika naye!!??Usalama wa Taifa kazi zao ni zipi? KUVAA MASHATI YA CCM TU? Wajitokeze sasa na kutueleza ni akina nani walipiga risasi Lissu.
Mama Samia hayupo kuhangaika na mtu mmoja, yeye kama Rais wa Nchi alishasema Nchi iko salama na ni mahali salama kwa Watanzania wote kuishi kwa amani, nini cha ziada akiongee?Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.
Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
Nakubaliana na wewe except hilo la kumkashifu Rais. Kama yeye ni kiazi watanzania waliomwamini ni viazi zaidi yake...Alianza na JPM ndio katuma watu kumuua... sasa hivi karukia kwa Kipilimba baadae atahamia kwa Samia.... ndio huwa namwona Samia mama yetu ni kiazi tu kuwapa waha kenge open room ...anajitia mama maridhiano hata kwa mambo ya kijinga.
We jamaa bana, we mwenyewe ukipewa pesa za serikali za mradi unazila, sasa unazungumzia mafao ya mtu afanye nayo charity? Unafikiria kweli ama umekalia waya unaopeleka network kwenye ubongo?
Na wewe ukistaafu utafanya charity?
Ila binadamu wa siku hizi siasa imewafanya muwe na chuki sana
Hawa si ndo machawa dume yaliyobaki ,leo hii mtu kama huyu ninwakusema mama analiponya taifa kweli!!! Wakati kipindinkile kilasiki ni kuandika makala za kumuunga mkono mzee.Analiponya taifa kutoka kwa nani aliyelifanya liumwe?
Ulizaliwa kwa bahati mbaya sana wewe mpuuzi, yaelekea ni waliokuzaa walikuwa wakifanya starehe zao wakasahau kutumia mpira ndio ukazaliwa kenge wewe usiye na huruma wala chembe ya utuYaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app