Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hatukatai watafute riziki lakini kwa utaratibu sio kila sehemu mtu anajiwekea meza, kinachokera zaidi kuna wamachinga mtaa wa kongo wamepangishwa barabara yaani watu wamegawana barabara wamepangisha watu bei inaanzia elfu3 kwa siku hadi elfu10 kwa siku, pili wale wanaziba maduka ya watu, tatu watembea kwa miguu ndio balaa hawana pa kupitaWewe si unasubiri kuliwa tigo upewe hela za kutanua mjini, huwezi kuelewa hustles za wanaume wanaopambana kutafuta maisha kwa jasho.
Endelea kupiga picha makalio uzirushe instagram watu wajilie vinyesi.
Wacha kazi iendelee...
Pande zipi hizo mwamba nami nihamie?Uku kitaaa kweupeee mpk nikahisi nimepotea njia mkuu
Unataka niongee shit tuu nionekane nina dharau. Mambo ya kidharau hussle za watu na mengineyo yatoka wapi. Ndo umama wenyewe huuAcha kupenda dezo, ingia mtaani uone hustles za wanaume.
Umekaa kaa tu hovyo hovyo unauza makalio unaandika upuuzi mitandaoni. Jinga sana.
angalia post #2Mimi binafsi naweza kusema Jamii Forums ndiyo chanzo changu kikuu cha habari. Siangalii TV, sisomi magazeti na wala sisikilizi radio, habari zote nazipatia humu labda nigongane na kitu huko Youtube na kidogo siku hizo nipo pia Twitter.
Ningependa kukiwa na major breaking news inayogusa jamii, ukiachilia zile za vifo vya viongozi wakuu, kungekuwa na jinsi ya kutuhabarisha kwa maelezo na picha za kutosha na ikiwezekana news hizo ziwe pinned kwa siku kadhaa.
Kwenye hili zoezi la bomoa bomoa naona kuna ukimya mwingi wakati ni 'major story'.
Ila hayo majadiliano hayatoshi halafu hamna hata picha moja bwana?angalia post #2
Wacha somo liwaingie kwanza.Dhambi sana. Sasa wanawapeleka wapi?
Ajira wamewanyima na mitaani wanafukuzwa!
Samia umeshindwa kuajiri hata madaktari? Leo Tanzania MD hana kazi?
Kazi iendelee!
Wanaenda sehemu rasmiDhambi sana. Sasa wanawapeleka wapi?
Ajira wamewanyima na mitaani wanafukuzwa!
Samia umeshindwa kuajiri hata madaktari? Leo Tanzania MD hana kazi?
Kazi iendelee!
Meko aliajiri wangapi?Dhambi sana. Sasa wanawapeleka wapi?
Ajira wamewanyima na mitaani wanafukuzwa!
Samia umeshindwa kuajiri hata madaktari? Leo Tanzania MD hana kazi?
Kazi iendelee!
Hawa wakiachiwa uhuru bila kuwadhibiti wanaweza kujenga mabanda yao machafu hadi ndani ya ikulu na wakaona poa tu. Katika vitu ambavyo sikuvipenda wakati wa serikali ya wamu ya tano mojawapo ni hawa wamachinga kujenga hovyo vibanda na kuchafua taswira za miji na majiji yetu mfano Dar na Mwanza. Majiji yaligeuka kuwa na muonekano wa mazombie kisa wanyonge.Mungu awaongoze..hatuwezi ishi bila utaratibu..nchi lazima iwe na utaratibu..na mpangilio wa mji uonekane.
Jinsi wamachinga walivyo haribu na kuchafua miji nazidi kuamini kuwa masikini ni watu wenye laana.
#MaendeleoHayanaChama
Kawachukue hao wamachinga wakajenge vibanda mbele ya nyumba yako maana wewe una huruma na wanyonge. Ukiendekeza njaa utauza hadi utu wako. Miji na majiji na sehemu zingine zote lazima kuwe na utaratibu wa kuendesha shughuli mbalimbali zikiwemo biashra ndogo za wamachinga. Asili ya neno wamachinga ni vijana/watu wanaotembeza vitu/biashra zao mikononi toka sehemu moja hadi nyingine lakini siku hzi eti wamachinga wanajenga mavimbanda ama kweli dunia inakwenda mbele na nyuma.Halafu ukiwatoa hapo unataka wakale kwa mama yako?
Hii nchi ni masikini, lazima tuelewe kwamba vipato vya wananchi vinategemea biashara ndogo ndogo kuendesha maisha.
Huwezi kujenga shopping malls kwa ajili ya mamantilie wanaouza vitumbua na mihogo!
Grow up, kiddie. Acha utoto!
Temeke na viunga vya Tandika leo usiku kimeeleweka.
Huruma Sana,
Watanzania tujifunze kutuata sheria.
Tukiwaambia wakinukishe hawataki, ngoja wakafe na njaa.Wacha somo liwaingie kwanza.