Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Hio changamoto ya vibaka tutaitatua pia mkuu!Pamoja na Nia njema kabisa iliyonayo Serikali yetu., wasiwasi wetu ni kuongezeka kwa vibaka mitaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio changamoto ya vibaka tutaitatua pia mkuu!Pamoja na Nia njema kabisa iliyonayo Serikali yetu., wasiwasi wetu ni kuongezeka kwa vibaka mitaani.
Ebu fuatilia.mimi nimeona bunju b kule soko jipya kuna wamachinga wamekosa nafasi.Ndio watapata
Nina imani hao waliokosa nafasi pia watapata kwasababu uongozi wa machinga pia umeshirishwa katika hili, hivyo lazima kuna namna watafanya kuhakikisha kila mtu anapata sehemu ya kufanyia kazi.Ebu fuatilia.mimi nimeona bunju b kule soko jipya kuna wamachinga wamekosa nafasi.
Kama itakuwa hivyo NI jambo Zuri.Nina imani hao waliokosa nafasi pia watapata kwasababu uongozi wa machinga pia umeshirishwa katika hili, hivyo lazima kuna namna watafanya kuhakikisha kila mtu anapata sehemu ya kufanyia kazi.
Machinga ni moja ya njia ya kufikisha huduma na bidhaa hasa kwa watu wa kipato cha chini kwa urahisi, haraka na nafuu. Serikali inashindwa ku strategise namna ya kukusanya kodi zitokanazo na bidhaa na huduma wanaenda kuhangaika na machinga wakifikiri ndo wanakwamisha wao kukusanya kodi ya kutosha kutoka kwa wafanyabiashara.
Kimsingi wafanyabiashara wa kiafrika ni wakwepaji wakubwa wa kodi ukilinganisha na wazungu na kuthibiti wamachinga siyo suluhisho la wao kutoendelea kukwepa kodi.
Serikali inatakiwa kubuni njia mbadala za kukusanya kodi kwenye bidhaa na huduma, badala ya kuingilia mifumo ya ufanyaji biashara unaolenga kuwakandamiza wafanyabiashara ndogo ndogo, waliobandikwa jina la wamachinga ambao kimsingi ndo wanasaidia kundi kubwa la watu wa kipato cha chini na kati na kuishia kuwalinda maslahi ya wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa.
Miaka yote hua wanashindwa,Hilo linajulikana.Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa AMESHINDWA
Maamuzi yasiyo ya haraka ni yapi?Watoto Wengi sana wa shule kwenye hii Miji kama Dar es Salaam wanakwenda kushindwa kuendelea na Masomo kama athari ya haya maamuzi ya haraka
Angeweka picha nadhani ningeweza kuvutiwa kwenda Dar maana sipapendi kwasababu pabaya labda sasa naweza kuvutiwa.dah, bila kapicha kweli ?
Tutapambana nao, waje tuu. Vibaka ni sehemu ndogo ya jamiiPamoja na Nia njema kabisa iliyonayo Serikali yetu., wasiwasi wetu ni kuongezeka kwa vibaka mitaani.
NakaziaPicha
Ni kweli mkuu,mtaani ni kugumu sanaKama itakuwa hivyo NI jambo Zuri.
Wasiwaterekeze.
Ajira zenyewe hamna na maisha ni magumu Sanaa.
Lakini pia tusiwe na fikra kwamba kila kijana awe mchuuzi/machinga.Muhimu waelekeze juhudi kubwa kusafisha masoko kama Tandika, Tandale,ilala Boma, Mwenge, Temeke fukwe zote kama magogoni, kawe, oysterbay.
Masoko inabidi yapangwe upya na yawe na miundombinu ya kutosha ya vyoo na visafi, sehemu za kuweka uchafu, (Dustbins) miundombinu ya kuchukua maji taka na maji ya mvua, meza, nafasi za kutosha kwenye njia za kupita watembea miguu ndani ya soko, roof, sakafu za cement / zege, parking za kutosha, na taa/mwanga wa kutosha etc.
Muhimu sana wahakikishe wafanyabiashara wote wanaendelea kupata sehemu zao za kuuza zilizo safi, salama kwa kila mtu anayetembelea soko.
Wawekeze pia kuwa na bustani njingi mjini, na kupanda miti, majani, maua katikati ya barabara kubwa na pembezoni ya barabara zote.
Wewe Umesikia tu, sie tunataka picha tuthibitishe.KUMEKUCHA, Nasikia dar imefanyiwa usafi ndani ya usiku mmoja na hawa vijana, watu wameamka asubuhi hawaamini wanachokiona ,sehemu ambayo ilikua haipitiki saivi unapita bila kugusana.
vibanda vyote vimevunjwa hivi vya service road sasa ufanyike usafi wa kwenda jiji liwe safi zaidi
kumbe inawezekana aisee khaa Suma jkt sio wa mchezo mchezo, waendelee kupewa tenda hawa vijana
Mi ni kenzy
KabisaaaKwa hili serikali inapaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tunapaswa kuwa na miji au majiji yaliyostaarabika.
Masikini hata ndugu zake humchukia ni wakati wajue hii nchi inautaratibuDah Hangaya kawafukuza maskini Mjini ili matajiri watawale...Kwa kigezo cha 'usafi'