Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Nyama ya moto katupiwa MAHAKAMA🤣🤣,iwaite hao vigogo au iufyate mkia.Kwa kweli hapa nikiri upeo wangu upo chini.
Natamani Samia aende. Nataka kuona Lisu atatumiaje mashahidi wanaomtuhumu kuwa mhaini kumnasua kwenye kesi hiyo.
1. Yote sawa kufikiri kwako na kufikiri kwanguWewe umefikiri kwa upande hawezi kufika.
Mimi nimefikiria vipi akifika. Je Tundu Lisu amejiandaaje?
Subiri SSH aje.Kwamba hao mashahidi ndio walioshirikiana naye kufanya kosa l lililofanya ashtakiwe? Je walikuwa mashahidi? Walipanga?
Ukielewa maana ya uhaini na mwenendo wa Shauri hili lilivyoenda mpaka kufikia hapa, hutauliza maswali haya bali utaelewa ni kwanini SSH (aliyekuwa Rais by then) anapaswa kuja kumtetea TL!!Au anahoji kuhusu udhaifu wa serikali na vyombo vya dola. Maanq huko ndiko atakapojihusisha zaidi.
Uhaini ni nini kwani?Samia hawezi kujipanga kwa sababu yeye ni shahidi tuu sio Mshtakiwa
Ha ha ha! Bro mi najua unaelewa Mkubwa sana, Kuna vitu huwa unaandika nashangaa
Kesi ni uhaini lazima viongozi wote wajuu watokee.Najaribu kuangalia Uzito wa wa Orodha ya hao watu waliotajwa na kesi yenyewe naona haviendani kabisa..
1. Yote sawa kufikiri kwako na kufikiri kwangu
2. Tundu Lissu ajiandaaje unadhani? Kama ilivyo kwa mashahidi wengine wote waliokwisha kukutana na TL, ndivyo ambavyo SSH anapaswa kujiandaa kukumbana na moto wake pale kizimbani
Subiri SSH aje.
Ukistaajabu ya Musa, utapigwa na bumbuwazi na Yale ya Firauni (Farao!!)
Ukielewa maana ya uhaini na mwenendo wa Shauri hili lilivyoenda mpaka kufikia hapa, hutauliza maswali haya bali utaelewa ni kwanini SSH (aliyekuwa Rais by then) anapaswa kuja kumtetea TL!!
Uhaini ni nini kwani?
Samia Suluhu Hassan alikuwa na cheo na madaraka gani by then?
Aliwahi kutishiwa na kufanyiwa jaribio la kuuliwa na TL?
Mbona waleta mashitaka na mashahidi wao wanasema kitendo hiki cha uhaini Baraza la Usalama wa taifa chini ya uenyekiti wa Samia (by then Rais) wala walikuwa hawajui, hawakupewa taarifa?
Sasa ajipange vipi na wakati wanatakiwa wakamtetee?
Kama Mama Samia akija si aliwahi kwenda kwenye mkutano wa ndani wa Chadema kipindi kile cha mbowe atashindwa vipi kufika mahakamani? Kama hata kwenye matamasha ya mziki anaudhuria itashindwa hivyo tujadili kama Wasomi bila ushabiki ikatokea akaja itakaaje kwa upande wa Lissu?Umemaliza?
Mimi nadhani tatizo liko kwako kushangaa hawa kuitwa wakati ni kawaida, maana upande wa utetezi ndio unawaona ni mashahidi...
Na unataka Tundu Lissu ajiandae kwa lipi hasa wakati tayari Yuko kazini akiwasubiri hao waje? Nilidhani ulipaswa umpe hii taarifa ya kujiandaa Samia Suluhu Hassan..
=======
Na kwa taarifa yako tu, Samia Suluhu Hassan hawezi kufika mahakamani, trust me..!!
Tayari huko mawakili wa serikali ya hovyo wameanza kumkingia kifua asiende mahakamani! wakijua kabisa akienda atakaangwa vibaya, unafikiri lisu muoga muoga?Mkuu mimi ni moja ya watu ninaomkubali Lisu. Lakini hapa nikiri upeo wangu umefika mwisho.
Ndio nataka kuona kama Samia akifika mahakamani Lisu amejipangaje?
Hofu yangu ni nilichouliza na kutoa mada hii. Vipi kama hajajipanga vyakutosha?
Tunasubiri tuone wataenda?Kwa kweli hapa nikiri upeo wangu upo chini.
Natamani Samia aende. Nataka kuona Lisu atatumiaje mashahidi wanaomtuhumu kuwa mhaini kumnasua kwenye kesi hiyo.
Mimi nijuavyo mshtakiwa akiita mashahidi wake ,means wako pale kumtetea yeyeWakamtetee wakati ndio anashutumiwa kwamba alikuwa anatishia kufanya uhaini wa serikali yao?
Alafu ukijumlisha na mambo ya mo29 ndio kabisa
duh sasa hakujua haya bwana lisu ?Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya Kikatiba
Kifungu cha Sheria: Ibara ya 46(1) ya Katiba inaeleza wazi kuwa ni marufuku kumshtaki au kuendesha mashtaka ya aina yoyote dhidi ya Rais akiwa madarakani.
Tafsiri ya Kitendo:
Kinga hii inamaanisha kuwa Rais hawezi kupewa wito wa kufika kizimbani ( subpoena) wala kulazimishwa kutoa ushahidi mahakamani kwa mambo aliyoyafanya au kusema wakati akitekeleza majukumu yake.
Hali ya Kesi za Madai Binafsi
Vitendo vya Kawaida: Katiba inasema mtu aliye madarakani anaweza kuwajibishwa kwa madai ya nje ya kazi za kifalme au za kiutawala (kama raia wa kawaida), lakini utaratibu unataka shughuli hiyo ifanyike baada ya kumaliza muda wake wa uongozi.
Halazimishwi ila anaweza kukutoa Ushahidi kwa Hiari: Hakuna sheria inayomzuia Rais kutoa maelezo kwa hiari nje ya mahakama au kutoa waraka rasmi kwa utaratibu maalum wa kiserikali, lakini hawezi kupelekwa mahakamani kwa nguvu kama shahidi wa kawaida akiwa bado anashika madaraka.
Je akifika Lissu kajipangaje?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Samia huyu huyu? Huyu hawawezi kubali apelekwe pale akadhalilishwe. Nyie mnataka adhalilishwe tu. Mna chuki naye sana.
Kama atafika upande wa kesi inakuajewanaodai kwamba walitaka kupinduliwa wanakuja kwenye kesi kama mashaidi katika kumtetea mshitakiwa...very interesting case.
Ndoto za Alinacha. Hata hivyo simwelewi Lissu kwa vipi Samia awe shahidi wake? Kisheria imekaa kushoto sana. Shahidi ni mtu ambaye yupo upande wa utetezi.Subiri ujionee mwenyewe.
Tena Samia akitaka aweze anatakiwa aende.
Hiyo pekee itamshtua hata Lisu mwenyewe kwa sababu naye atakuwa haamini kama Samia anaweza kwenda mahakamani. Na hilo litakuwa pigo upande wake.
Kama hajajipanga ndio kabisa
Wala usihangaike kufikiri wala kudhani hivyo...Wewe hushangai hiyo kesi ya Lisu?
Fikiria mtu akupeleke ndani alafu huyohuyo awe shahidi wako.
Kwq mazingira ya hiyo kesi. Sioni namna hao mashahidi hata wakifika huko mahakamani wakimsaidia Tundu Lisu kwa namna yoyote.
Hofu yangu isije ikawa Lisu hakujiandaa. Pili, hakutegemea kesi ingekuwa serious kwa kiwango hiki na kufika huku
Kama mawakili wanachemka peupeeee mpaka wanafedheheshwa tena kwa aibu na TAL basi hao mashahidi kamwe hawataweza toa utetezi wowote wa maana mbele ya TAL. Ila sema kwa kuwa judges wanaendeshwa kwa rimoti basi TAL hatopata haki yake.Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Kwamba itamshutua kuwa yeye si binadam au itamshutua kitu gani kwanza kwa vyovyote vile Lisu kawawekea mtego huoSubiri ujionee mwenyewe.
Tena Samia akitaka aweze anatakiwa aende.
Hiyo pekee itamshtua hata Lisu mwenyewe kwa sababu naye atakuwa haamini kama Samia anaweza kwenda mahakamani. Na hilo litakuwa pigo upande wake.
Kama hajajipanga ndio kabisa
We jamaa nawe unajitwangia tu mambo kwa hisia zako majaji wansema mashahid waliotajwa number 1 mpka 7 hawawezi kufika wewe unasema watafika aisee hii nchi. Raia wake ni vituko mpaka viongozi wenu *****Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Lissu yupo mbele ya muda sana na kumuita sa100 awe shahidi wake hiyo ni tactic nzuri sanaNdoto za Alinacha. Hata hivyo simwelewi Lissu kwa vipi Samia awe shahidi wake? Kisheria imekaa kushoto sana. Shahidi ni mtu ambaye yupo upande wa utetezi.